πUfalme wa simu wa sasa

β‘ Asubuhi saa 12 : 00 mtu anaamka, kabla hata HAJAMUSHUKURU MUNGU, kabla hata hajatoka kitandani, kabla hata hajajifunua shuka,

πATARIPOTI KWA SIMU KWANZA KABLA YA KURIPOTI KWA YEYOTE, NDIO HAPO UNAONA MTU AKIAMKA KABLA HATA HAJASALI KWA MUNGU ANAAMKIA SIMU KWANZA KUIKAGUA,
- Nani alinitafuta?
-Nani alini-text?
-WhatsApp nani kanitumia msg?
- kwenye magroup kuna mpya gani?
- Fb kuna post gani kali?
- nani kaweka picha kali leo?

Open printable article βπUsipite bila kusoma kisa hiki cha kusisimua

Siku moja jioni katika mji flani, kulikuwa na basi likisafiri kutoka mji huo kuelekea mji mwingine. Lilikuwa ni basi kubwa na limejaa abiria. Wakati wakiendelea na safari, ghafla, mvua kubwa iliyoambatana na radi ikaanza kunyesha. Dereva hakuogopa, wala abiria, wakaendelea na safari. Mara wakati wanaenda, radi ikaanza kufuatilia gari. Kila wakienda, radi inapiga karibu na basi kana kwamba inalifuata basi. Likisimama, radi inapiga pembezoni mwa basi.

Open printable article βπHadithi: Mkasa wa kusisimua, Jifunze kitu hapa

Watu wawiliπ¬ walikuwa wanakunywa pombeπΊπ» baa. Wakati wanakunywa wakaanza kubishanaπ
πΎββ na baadaye ule ubishi ukawa ugomvi.

Mmoja akamrukia mwenzake akaanza kumpiga. Baada ya kumpiga kwa muda mrefu akagundua kuwa mwenzake hapumui tena.

Kumbe amemwua mwenzie.π°

Open printable article βπJifunze kitu Kwenye mfano huu kuhusu Maombi na kuomba

Nabii mmoja aliumwa
na Jino, lilimtesa sanaβ¦
Akapiga magoti kumlilia
Mungu ili amponye..
Mungu akamuonesha mti
flani ili majani yake
Yapate kumtibu..
Akaenda kwenye mti ule,
Akachukua majani yake
akatumia na kweli
akaponaβ¦

Open printable article βπTarehe ya Pasaka inavyopatikana

KALENDA za mwanzo ziliutumia mwezi wa
angani kama kipimo cha muda. Ziliitwa βLunar
calenderβ au Kalenda-Mwezi. Tarehe 1 ya
Mwezi ilikuwa ni siku ulipoandama yaani
Mwezi-Mdogo (Crescent Moon).
Mwezi unapofika siku ya 15 unakuwa umefikia
ukubwa wa juu na huitwa Mwezi-Mkubwa (Full
Moon). Hivyo kwa kalenda ile tarehe 15
ilikuwa ni siku ya Mwezi-Mkubwa.

Open printable article βπSiri ya kamba nyekundu

Miaka zaidi ya 3000 iliyopita katika mji wa Yeriko alikuwepo mwanamke mmoja kahaba, jina lake Rahabu. Huyu mwanamke aliwaokoa wapelelezi wa Israel waliotumwa kwenda kufanya uchunguzi ktk nchi yao.

Wakati wana wa Israel wanatoka Misri kuelekea nchi ya Kaanani, Mungu aliwaahidi kuwapa mji wa Yeriko. Kwahiyo walipofika ng'ambo ya mto Yordani, Yoshua akatuma wapelezi wawili kwenda kuipeleleza Yeriko kabla wana wa Israel kuivamia na kuitwaa.Β

Open printable article βπMambo 7 ya kubadili katika maisha ili ubadilike

1. Huwezi kubadili namna watu walivyokutendea mpaka ubadili namna unavyowatendea.β

Matayo 7:12;
"Basi yote myatakayo mtendewe na watu, nanyi watendeeni vivyo hivyo; maana hiyo ndiyo Torati na Manabii."

Open printable article βπKwa nini tarehe ya Pasaka hubadilika

KALENDA za mwanzo ziliutumia mwezi wa
angani kama kipimo cha muda. Ziliitwa
βLunar calenderβ au Kalenda-Mwezi. Tarehe 1
ya Mwezi ilikuwa ni siku ulipoandama yaani
Mwezi-Mdogo (Crescent Moon).
Mwezi unapofika siku ya 15 unakuwa
umefikia ukubwa wa juu na huitwa Mwezi-
Mkubwa (Full Moon). Hivyo kwa kalenda ile
tarehe 15 ilikuwa ni siku ya Mwezi-Mkubwa.
Mwaka 45KK, Julius Caesar alitangaza
kalenda mpya ikaitwa βJulian Calenderβ iwe
na siku 365. Wakati huo ikijulikana kwamba
jua huzunguka kwa siku 365.25. Hivyo pengo
la kalenda na mzunguko likabaki robo siku.

Open printable article βπMaana ya jina Bikira Maria
Jina asili kwa Kiaramu ni ΧΧ¨ΧΧ, MaryΔm lenye maana ya "Bibi"; watafsiri wa kwanza wa Biblia ya Kiebrania wanaojulikana kama Septuaginta (LXX) waliliacha kama lilivyo wakiandika kwa Kigiriki ΞΞ±ΟΞ―Ξ±ΞΌ, Mariam, au walilifupisha wakiandika ΞΞ±ΟΞ―Ξ±, Maria.Katika Kurani jina hilo kwa Kiarabu ni Ω
Ψ±ΩΩ
, Maryam.Jβ¦
Open printable article βπKanuni ya Mungu kuhusu mema
Unapoona mtu, jambo, kitu ni chema na kinakupendeza,Mungu naye anakifanya chema. Kwa maana anapenda kile tunachokipenda kama tuu hakina mawaa.Mfano. Mungu anakubali mtu unayetaka kufunga nae ndoa kama unampenda na unaona ni sawa
Open printable article βπNjia Kuu 3 za Kuiishi Huruma ya Mungu
Kuna njia Tatu kuu za Kuiishi Huruma ya Mungu ambazo ni kama ifuatavyo;MatendoHii ni kwa kutenda matendo ya Huruma kwa wengineManenoHii ni kwa kunena maneno ya Huruma kwa wengineSalaKusali kwa kuwaombea wengine Huruma ya Mungu
Open printable article βπUtaratibu wa Mkristo Mkatoliki Kanisani
Ninapoingia kanisani nachovya maji ya baraka na kusema;"Unitakase Ee Bwana mimi na uovu wangu wote, ili nipate kustahili kushiriki ibada takatifu' Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu" Amina!Ninapiga goti huku nikisema"Mungu wangu na Bwana wangu"ππ½Nikiinuka nasema"Nitakusifu na kukuabudβ¦
Open printable article βπNafasi ya Bikira Maria Katika Kanisa Katoliki
Kanisa katoliki linamthamini Bikira Maria kama Mama wa Mungu, Mama wa Kristu, Mama wa Mkombozi pia Mama wa uhai kuna maneno kadhaa hutumika pia kufafanua zaidi hiyo heshima mfano HYPERDULIA zaidi yaβ¦. Bikira Maria tunamheshimu zaidi ya watakatifu, PROTODULIA ikiwa na maana ya heshima kwa Bikira Mariβ¦
Open printable article βπThamani ya Kazi ya Upadre
UPADRE NI KAZI YA PEKEE YA HEKIMA, UWEZO NA MAPENDO YA UMUNGU WA KRISTU. KAMWE USIMSHAMBULIE PADRE. "Yesu Maria na Yosefu nawapenda, ziokoeni Roho. KUMTETA PADRE [Haya ni maelezo ya Bwana wetu kwa Mutter Vogel.] " Kamwe mtu asimshambulie Padre hata anapokuwa katika makosa badala yake umwombee na fanβ¦
Open printable article βπUsiyumbishwe na kila upepo wa mafundisho
FROM FR TITUS AMIGUSiku moja, miaka kama 14 hivi iliyopita, nilimzingua mchungaji wa kikanisa fulani. Alinijia mbio na kuniambia, "Atiβ¦ Kadinali wenu amesema kuwa pombe sio dhambi! Kwanini usihame huko? Angalia sasa, hata kiongozi wenu wa juu wa Kanisa amekosea kwa kusema pombe sio dhambi."Basi mimiβ¦
Open printable article β