Njia Kuu 3 za Kuiishi Huruma ya Mungu
ποΈ Mafundisho ya Msingi ya Kanisa Katoliki: Makala za Katoliki#Karibu AckySHINE#Katoliki: Huruma ya Mungu#Katoliki: Munguπ Kiswahili

Kuna njia Tatu kuu za Kuiishi Huruma ya Mungu ambazo ni kama ifuatavyo;
Matendo
Hii ni kwa kutenda matendo ya Huruma kwa wengine
Maneno
Hii ni kwa kunena maneno ya Huruma kwa wengine
Sala
Kusali kwa kuwaombea wengine Huruma ya Mungu
β
Direct PDF download
The download button now generates the PDF on the server. It no longer depends on an off-screen browser canvas, so the former blank-PDF capture path is bypassed.