ACKYSHINE ARTICLE Β· PRINTABLE READER

Kanuni ya Mungu kuhusu mema

✍️ DIN - Melkisedeck Leon ShineπŸ“… February 17, 2020πŸ’¬ 50 comments
πŸ—‚οΈ Mafundisho ya Msingi ya Kanisa Katoliki: Makala za Katoliki#Karibu AckySHINE#Katoliki: Mungu🌐 Kiswahili
Kanuni ya Mungu kuhusu mema
Unapoona mtu, jambo, kitu ni chema na kinakupendeza,
Mungu naye anakifanya chema. Kwa maana anapenda kile tunachokipenda kama tuu hakina mawaa.

Mfano. Mungu anakubali mtu unayetaka kufunga nae ndoa kama unampenda na unaona ni sawa

βœ…
Direct PDF download

The download button now generates the PDF on the server. It no longer depends on an off-screen browser canvas, so the former blank-PDF capture path is bypassed.