πWabongo ni noma! Angalia huyu mbongo anachokifanya
Basi juzi kati hapa sehemu ndogo ya ukuta wa Ikulu ya Magogoni ilianguka!.. Wakapelekwa contractors watatu ili achaguliwe mmoja atakayejenga vzr na kwa bei nafuu!.. Wakwanza alikuwa MUHINDI, wa pili MCHINA na MBONGO!β¦ MUHINDI: "ntajenga kwa milioni 90!.., 40 zβ¦
Open printable article βπUlevi noma! Angalia huyu mlevi alichomfanyia huyu jamaa usiku! Ungekua wewe ungefanyaje?
Jamaa alikuwa amelaa na mkewe saa tisa ya usiku akastuka baada ya kusikia mtu anabisha hodi kwenda kufungua mlango Akamkuta jamaa kalewa sana mlangoni kwao JAMAA: Nini tena mheshimiwa kuamshana saa hizi? MLEVI: Naomba uje unisukume. Jamaa akiamini kuwa pengineβ¦
Open printable article βπAngalia huyu mwanamke mwenye wivu kwa mumewe alivyoumbuka, Mme wake kamuweza kweli
WIVU HUU NI NOMA Mke: Hivi mume wangu una wanawake wangapi huko nje? Mume: Kama nywele za kichwa changu. Mke akachukua nguo zake akaondoka, Kufika njiani akakumbuka mumewe alikuwa na kipara Akaanza kurudi kwa mumewe.
Open printable article βπSababu ya jamaa kujiita fara ugenini
MZEE:"sasa huyu mgeni sijui alale wap?" MKE:"saa hizi ni usiku akalale na Bebi." jamaa akaona huyo Bebi pengne mtoto anakojoa kitandani au akalia asije msumbua usiku JAMAA:"msipate tabu mi ntalala hapa kwenye kochi" akalala asubh wanakunywa chai akaibuka mrembβ¦
Open printable article βπAngalia hawa wadada walivyoumbuliwa, Huyu kasuku jeuri kweli
Kasuku alisimama mlango wa kuingia supermarket wakapita wanawake watatu akasema nyeupe, nyekundu, kijani. Wale wanawake wakatatizika baada ya mda wakajua ni chupi walizovaa. Wakasema basi kesho tubadilisheni. Siku ya pili wakapita tena kasuku akasema nyeusi, mβ¦
Open printable article βπCheki masifa yalivyomponza huyu, Sifa nyingine ni mbaya jamani
Mbongo, Mganda, na Mkenya walikamatwa na makosa Uchina. Wakaambiwa adhabu ni ama kifo cha moja kwa moja au adhabu nyingine ambayo atakayeifaulu atakuwa huru, atakayeshindwa atauawa. Basi wao wakaomba wapewe hiyo adhabu nyingine wajaribu bahati yao. Wakapelekwaβ¦
Open printable article βπKilichompata sista duu bishoo wakati akijidai kununua pete
Mwanamke mmoja aliingia duka la vito vya thamani, akaona pete moja ya dhahabu nzuri sana amabayo ilikuwa kwenye shelf ya chini, wakati anainama apate kuitazama vizuri kwa bahati mbaya (au nzuri!), shuzi likamtoka- druuuuuu, soni ikamuingia huku akigeuka harakaβ¦
Open printable article βπKilichotokea wakati mchungaji akifungisha ndoa ya Mashoga
Mchungaji mmoja baada ya kuwafungisha ndoa "MASHOGA" wawili alipata wakati mgumu kutamka kuwa "sasa ninyi ni MKE na MUME" atafanyaje wakati wote ni wanaume? mchungaji akapiga moyo konde na kusema "tangu sasa ninyi ni MAN UNITED"
Open printable article βπKilichotokea baada ya kichaa kumfumania mke wake na mwanamme mwingine
Jay akaruhusiwa kwenda nyumbani kutoka hospital ya Vichaa, akapakiwa ktk ambulance hadi karibu na nyumbani kwake, akaulizwa unapakumbuka? akajibu ndio nyumba yangu ileee, mara wakatoka watoto wawili wamevaa uniform akasema watoto wangu walee wanakwenda shule..β¦
Open printable article βπCheki wanachokisema vichaa baada ya kuona ndege inapita angani
Vichaa wawili walikuwa wamekaa sehemu ghafla ikapita ndege angani kichaa mmoja akasema ndege ile hitakua imembeba rais kichaa mwenzake akajibu hapana ile imebeba wazungu kama ingekuwa imembeba rais ungeona mapikipiki mbele
Open printable article βπSoma alichokisema mlevi baada ya kukuta watu wakimpiga mwizi
Mlevi mmoja aliona wananchi wakipiga mwizi akawaambia "mwacheni msimpige, hii tabia yenu ya kupiga wezi mtakuja shtukia mnampiga Yesu, maana imeandikwa atakuja kama mwizi!"
Open printable article βπCheka kidogo: Majibu ya mhindi kwenye mtihani wa Kiswahili alipoambiwa ajibu methali
Mhindi kwenye mtihani wa kiswahili anaambiwa amalizie methali:(a)Nyani haoniβ¦..valisa miwani!(B)Debe tupuβ¦.weka dengu!(c)Masikini akipataβ¦.iko acha iba!(d)Penye kuku wengiβ¦chinja bili,tatu!(e)Asiyesikia la mkuuuβ¦.peleka yeye polisi!(f)Penye wengiβ¦β¦iko kutano yβ¦
Open printable article βπKingereza sio mchezo, angalia huyu anavyojichanganya
Jamaa fulani alikuwa ame2lia beach mzungu akapita akamuliza "Are u relax ? Jamaa akawa hamuelewi akamjibu No! Mzungu mwengine akapita akamuliza vilevile akajibu No!Akaona hapa anasumbuliwa akasogea mbele kidogo ya maji akamuona mzungu mmoja alikuwa ame2lia. Akβ¦
Open printable article βπAngalia huyu jamaa anachomwambia mwizi baada ya kumuibia simu yake
Foleni ndeeeeefu jamaa yupo kwenye daladala anaenda kazini kaona heri amuandikie boss wake msg kumtaarifu kuwa atachelewa ile anatakubofya SEND kibaka akaipitia simu. Jamaa kaishia kupga kelele "bonyeza send, bonyeza send wewe" abiria wote hawana mbavu
Open printable article βπHuyu Baba ni noma, Cheki anachomjibu huyu mtoto wake
Mtoto: baba eti Botwasna ipo wap?Baba: angalia itakuwa humo humo kabatini maana mama yako nae kwa kuficha kuficha vitu hajamboβ¦
Open printable article β