ACKYSHINE ARTICLE

Angalia huyu jamaa anachomwambia mwizi baada ya kumuibia simu yake

✍️ SW - Melkisedeck ShineπŸ“… August 3, 2021πŸ’¬ 237 comments

Foleni ndeeeeefu jamaa yupo kwenye daladala anaenda kazini kaona heri amuandikie boss wake msg kumtaarifu kuwa atachelewa ile anatakubofya SEND kibaka akaipitia simu. Jamaa kaishia kupga kelele "bonyeza send, bonyeza send wewe" abiria wote hawana mbavu