WIVU HUU NI NOMA Mke: Hivi mume wangu una wanawake wangapi huko nje? Mume: Kama nywele za kichwa changu. Mke akachukua nguo zake akaondoka, Kufika njiani akakumbuka mumewe alikuwa na kipara Akaanza kurudi kwa mumewe.