MZEE:"sasa huyu mgeni sijui alale wap?" MKE:"saa hizi ni usiku akalale na Bebi." jamaa akaona huyo Bebi pengne mtoto anakojoa kitandani au akalia asije msumbua usiku JAMAA:"msipate tabu mi ntalala hapa kwenye kochi" akalala asubh wanakunywa chai akaibuka mrembo,jamaa akapigwa bumbuwazi almanusra ajimwagie chai. BINTI:"Naitwa BEBI,we unaitwa nani?" Jamaa akasema mimi naitwa Fara…..!