Cheka kidogo: Majibu ya mhindi kwenye mtihani wa Kiswahili alipoambiwa ajibu methali
By SW - Melkisedeck Shine |
August 3, 2021
Mhindi kwenye mtihani wa kiswahili anaambiwa amalizie methali:
(a)Nyani haoniā¦..valisa miwani!
(B)Debe tupuā¦.weka dengu!
(c)Masikini akipataā¦.iko acha iba!
(d)Penye kuku wengiā¦chinja bili,tatu!
(e)Asiyesikia la mkuuuā¦.peleka yeye polisi!
(f)Penye wengiā¦ā¦iko kutano ya chadema!