Sidebar with Floating Button
AckySHINE πŸ”
☰

Maswali na majibu kuhusu Katekesi

β€’
Author/Editor: Melkisedeck Leon Shine, 2015-2017: AckySHINE.com
Featured Image
Katekista ni nani?
Katekista ni mlei aliyechaguliwa na Kanisa ili kumfanya Kristo ajulikane, apendwe, na kufuatwa na wale ambao hawajamfahamu na pia waamini

Waraka wa Baba Mtakatifu Unatafsiri vipi Makatekista?
Waraka unasema; 1. Makatekista ni Wafanyakazi maalimu 2. Mashahidi wa moja kwa moja, Wainjilishaji wasio na mbadala

Mkusanyo Sheria Kanuni za Kanisa unaelezaje kuhusu Makatekista?
Unaeleza kuwa - Makatekista ni Walei Wakristo ambao wamepewa malezi halisi na wanajitokeza vizuri katika maisha ya Ukristo wao.

Chini ya Uongozi wa Kanisa Katekista anafanya Kazi gani?
1. Yeye ni Kiungo cha Mapadre na waamini wa eneo lake 2. Kufikisha mafundisho ya Injili na kuhusika kwenye kazi za Ibada za kiliturujia na kazi za Huruma 3. Kuhubiri na kuwafundisha wakatekumeni 4. Kuelimisha vijana na watu wazima kkatika maswala ya Imani
5. Kuongoza Sala za Jumuiya hasa kwenye Ibada za Jumapili Ikiwa Padre hayupo 6. Kuwatembelea wagonjwa na kuwasaidia na kuongoza Ibada za Mazishi 7. Kufundisha dini mashuleni na kuwaandaa watoto katika kupokea Sakramenti mbalimbali 8. Kutembelea Jumuiya ndogondogo kuziendeleza na kuziimarisha
AckySHINE Solutions
✨ Join AckySHINE for more features! ✨

Comments 52

Please log in or register to comment or reply.
πŸ‘₯ Elizabeth Malima Guest Jun 3, 2024
Mwamini Bwana; anajua njia
πŸ‘₯ Michael Mangazini Guest May 29, 2024
Kazi nzuriπŸ‘
πŸ‘‘ Melkisedeck Leon Shine Master Admin May 30, 2024
Endelea kujifunza na Kubarikiwa
πŸ‘₯ Kevin Maina Guest Apr 13, 2024
Hata chembe ya haradali ya imani inaweza kusogeza milima
πŸ‘₯ Fredrick Mutiso Guest Nov 9, 2023
Kuna tumaini kwa ajili ya siku zijazo, maana Mungu anajua mipango aliyokupangia
πŸ‘₯ James Kimani Guest Oct 22, 2023
Rehema zake hudumu milele
πŸ‘₯ Benjamin Masanja Guest Oct 17, 2023
Upendo wa Mungu na rehema zake havikosei kamwe
πŸ‘₯ Betty Cheruiyot Guest Sep 3, 2023
Upendo wa Mungu haukosei kamwe.
πŸ‘₯ Janet Wambura Guest Jul 2, 2023
Katika uwepo wake, kuna ukamilifu wa furaha
πŸ‘₯ Richard Mulwa Guest Jun 4, 2023
Baraka kwako na familia yako.
πŸ‘₯ Samuel Were Guest Dec 4, 2022
Mwamini katika mpango wake.
πŸ‘₯ Esther Nyambura Guest Nov 25, 2022
Tumeokolewa kwa rehema zake, si kwa matendo yetu
πŸ‘₯ Frank Macha Guest Aug 20, 2022
Rehema zake ni ukumbusho wa daima wa upendo wake
πŸ‘₯ Andrew Mchome Guest Jul 21, 2022
Mwamini Bwana kwa moyo wako wote, na usitegemee ufahamu wako mwenyewe
πŸ‘₯ Tabitha Okumu Guest Jun 23, 2022
Imani inakua imara zaidi wakati wa majaribu
πŸ‘₯ David Musyoka Guest Apr 23, 2022
Mungu ni mwaminifu; hatakuacha kamwe wala hatakupungukia
πŸ‘₯ Stephen Amollo Guest Dec 4, 2021
Mungu ni kimbilio letu na nguvu zetu, siku zote tayari kusaidia wakati wa shida
πŸ‘₯ Irene Akoth Guest Sep 25, 2021
Endelea kuwa na imani!
πŸ‘₯ Wilson Ombati Guest May 14, 2021
Kwa Mungu, yote yanawezekana
πŸ‘₯ James Malima Guest Apr 20, 2021
Rehema hushinda hukumu
πŸ‘₯ Emily Chepngeno Guest Mar 21, 2021
Katika giza, nuru yake inaangaza zaidi
πŸ‘₯ Francis Mrope Guest Mar 12, 2021
Dumu katika Bwana.
πŸ‘₯ Victor Kamau Guest Feb 15, 2021
Wakati wa Mungu ni kamilifu
πŸ‘₯ Frank Macha Guest Jan 30, 2021
Imani inaweza kusogeza milima
πŸ‘₯ Nancy Komba Guest Jan 23, 2021
Mungu ni mwema, wakati wote!
πŸ‘₯ Mary Kendi Guest Jul 4, 2020
Tembea kwa imani, si kwa kuona
πŸ‘₯ Mary Sokoine Guest Jun 6, 2020
Katika udhaifu wetu, rehema za Mungu zinatupa nguvu
πŸ‘₯ Nora Kidata Guest Apr 8, 2020
Endelea kuamini, hata ikiwa ni vigumu kuona njia
πŸ‘₯ Lucy Wangui Guest Feb 26, 2020
Kupitia Kristo, tunapokea rehema za Mungu kwa wingi
πŸ‘₯ Elizabeth Mtei Guest Jan 14, 2020
Neema ya Mungu inatosha kwako
πŸ‘₯ John Lissu Guest Jan 10, 2020
Katika imani, yote yanawezekana
πŸ‘₯ Peter Tibaijuka Guest Dec 24, 2019
Rehema za Mungu ni mpya kila asubuhi
πŸ‘₯ Mary Njeri Guest Jun 30, 2019
Wacha imani yako iwe kubwa kuliko hofu yako
πŸ‘₯ Monica Nyalandu Guest Jun 30, 2019
Imani ni kuwa na uhakika wa kile tunachotarajia na kujua kwa hakika kile ambacho hatuoni
πŸ‘₯ Ann Awino Guest Jun 20, 2019
Anaponya mioyo iliyovunjika na kufunga majeraha yao
πŸ‘₯ Edward Lowassa Guest Feb 8, 2019
Mungu ana mpango kwa ajili yako, muamini
πŸ‘₯ Samuel Omondi Guest Feb 5, 2019
Rehema za Mungu ni mpya kila asubuhi
πŸ‘₯ Lydia Mzindakaya Guest Dec 13, 2018
Katika rehema zake, Mungu husamehe na kurejesha
πŸ‘₯ Elizabeth Mtei Guest Jun 30, 2018
Hadithi yako haijaisha; Mungu bado anaandika
πŸ‘₯ Ruth Wanjiku Guest Jun 19, 2018
Sifa kwa Bwana!
πŸ‘₯ Peter Otieno Guest May 31, 2018
Wacha nuru yako iangaze mbele ya wengine
πŸ‘₯ Josephine Nekesa Guest Apr 6, 2018
Mungu ana kusudi hata katika maumivu yako
πŸ‘₯ Joseph Kawawa Guest Mar 27, 2018
Mungu akubariki!
πŸ‘₯ Victor Malima Guest Feb 11, 2018
Hauko peke yako; Mungu yuko nawe
πŸ‘₯ Mary Kidata Guest Nov 21, 2016
Nguvu hutoka kwa Bwana
πŸ‘₯ George Wanjala Guest Oct 27, 2016
Tumaini ni nanga ya roho
πŸ‘₯ Peter Tibaijuka Guest Aug 23, 2016
Bwana atapigana kwa ajili yako; wewe unahitaji tu kutulia
πŸ‘₯ John Malisa Guest Jul 24, 2016
Bwana yuko karibu na wote wanaomwita
πŸ‘₯ John Mwangi Guest Jul 19, 2016
Nakuombea πŸ™
πŸ‘₯ Diana Mallya Guest Apr 29, 2016
Ahadi za Mungu ni za kweli daima
πŸ‘₯ Jane Muthui Guest Aug 12, 2015
Rehema za Mungu ni kubwa kuliko kosa lolote
πŸ‘₯ Josephine Nekesa Guest Jun 30, 2015
Neema na amani iwe nawe.

πŸ”— Related Posts

🏠 Home πŸ“– Reading πŸ–ΌοΈ Gallery πŸ’¬ AI Chat πŸ“˜ About