Haki za binadamu ni haki zinazohusiana na mambo ya msingi na
asili ya uhuru na heshima ya ubinadamu ambapo watu wote wamepewa
haki ya kupata heshima kama
binadamu. Mara mtu azaliwapo
mume au mke hupata
haki hizi. Haki hizi
zinatambuliwa kimataifa
na zina usawa kwa watu
wote. Nchi mbalimbali
zimetia saini na kuidhinisha
haki hizi za kimataifa
na kufanya ni sehemu
ya sheria zao
pamoja na kuweka sera
zinazolinda haki hizi.
Haki za uzazi zina misingi yake katika haki za binadamu na pia
zinahusiana na haki za mtu mmojammoja.
Kupata habari juu ya ujinsia na mada zinazohusu afya
ya uzazi.
Mwanamke au mwanaume kuamua kwa uhuru na
kuwajibika, kama unataka kujamiaana lini na nani.
Uhuru wa maamuzi.
Kuamua kwa hiari na kuwajibika juu ya idadi na muda wa
kupishana katika kupata watoto.
Kupata huduma za afya ya uzazi kwa urahisi.
Haki za kufanya maamuzi kuhusu afya ya uzazi, kwa
uhuru, bila kunyanyaswa, kulazimishwa, bila kutumia
nguvu pamoja na maamuzi nani wa kufunga naye ndoa.
Kujilinda kutokana na mila zenye madhara kama vile
ukeketaji wa wanawake.
Haki hizi zimerekebishwa tangu mkutano uliofanyika Cairo mwaka
19941.
Haki za binadamu ni haki zinazohusiana na mambo ya msingi na asili ya uhuru na heshima ya ubinadamu ambapo watu wote wamepewa haki ya kupata heshima kama binadamu. Mara mtu azaliwapo mume au mke hupata haki hizi. Haki hizi zinatambuliwa kimataifa na zina usawa kwa watu wote. Nchi mbalimbali zimetia saini na kuidhinisha haki hizi za kimataifa na kufanya ni sehemu ya sheria zao pamoja na kuweka sera zinazolinda haki hizi. Haki za uzazi zina misingi yake katika haki za binadamu na pia zinahusiana na haki za mtu mmojammoja. Kupata habari juu ya ujinsia na mada zinazohusu afya ya uzazi. Mwanamke au mwanaume kuamua kwa uhuru na kuwajibika, kama unataka kujamiaana lini na nani. Uhuru wa maamuzi. Kuamua kwa hiari na kuwajibika juu ya idadi na muda wa kupishana katika kupata watoto. Kupata huduma za afya ya uzazi kwa urahisi. Haki za kufanya maamuzi kuhusu afya ya uzazi, kwa uhuru, bila kunyanyaswa, kulazimishwa, bila kutumia nguvu pamoja na maamuzi nani wa kufunga naye ndoa. Kujilinda kutokana na mila zenye madhara kama vile ukeketaji wa wanawake. Haki hizi zimerekebishwa tangu mkutano uliofanyika Cairo mwaka 19941.
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
0 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Je, kuna mambo mazuri na mabaya kuhusu ngono/kufanya mapenzi? Ndio, kuna mambo mengi sana ambayo tunaweza kuyataja kuhusu ngono. Baadhi ya mambo haya β¦
Hapana, huwezi kuwatoa wadudu wa magonjwa ya zinaa kwa njia ya kuoga baada ya kujamiiana. Wadudu hao hawakai sehemu ambazo unaweza ukawaondoa, wanaingβ¦
Mapaja na nyonga ni sehemu ya mwili i i iliyo karibu na viungo vya uzazi vya mwanamke. Kwa sababu ya mvuto wa kijinsia kati ya mwanaume na mwanamke, aβ¦
Nifanyeje Kuzungumza na Mwenzi Wangu kuhusu Matumizi ya Vipira (IUD)? Karibu sana! Leo tutazungumzia suala nyeti kuhusu matumizi ya vipira (IUD) na jiβ¦
Wakati wa kutumia kondomu ya kiume ni muhimu kufuata hatua zifuatazo. Hakikisha kwamba pakiti inayoihifadhi haijapasuka na kwamba tarehe ya kuisha mudβ¦
Je, nini imani ya watu katika kutumia mawasiliano ya kimwili kama ishara ya mapenzi wakati wa ngono/kufanya mapenzi? Hii ni swali ambalo limezungumziwβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate