Sababu ya jamaa kujiita fara ugenini
MZEE:"sasa huyu mgeni sijui alale wap?" MKE:"saa hizi ni usiku akalale na Bebi." jamaa akaona huyo Bebi pengne mtoto anakojoa kitandani au akalia asije msumbua usiku
Open printable article βFind an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.
MZEE:"sasa huyu mgeni sijui alale wap?" MKE:"saa hizi ni usiku akalale na Bebi." jamaa akaona huyo Bebi pengne mtoto anakojoa kitandani au akalia asije msumbua usiku
Open printable article βKasuku alisimama mlango wa kuingia supermarket wakapita wanawake watatu akasema nyeupe, nyekundu, kijani. Wale wanawake wakatatizika baada ya mda wakajua ni chupi walizovaa. Wakasema basi kesho tubadilisheni. Siku ya pili wakapita tena kasuku akasema nyeusi, manjano, zambarau.
Open printable article βMbongo, Mganda, na Mkenya walikamatwa na makosa Uchina. Wakaambiwa adhabu ni ama kifo cha moja kwa moja au adhabu nyingine ambayo atakayeifaulu atakuwa huru, atakayeshindwa atauawa. Basi wao wakaomba wapewe hiyo adhabu nyingine wajaribu bahati yao. Wakapelekwa msituni wakaambiwa kila mmoja aende kwa njia yake halafu arudi na matunda kumi ya kufanana.
Open printable article βMwanamke mmoja aliingia duka la vito vya thamani, akaona pete moja ya dhahabu nzuri sana amabayo ilikuwa kwenye shelf ya chini, wakati anainama apate kuitazama vizuri kwa bahati mbaya (au nzuri!), shuzi likamtoka- druuuuuu,
Open printable article βMchungaji mmoja baada ya kuwafungisha ndoa "MASHOGA" wawili alipata wakati mgumu kutamka kuwa "sasa ninyi ni MKE na MUME"
Open printable article βJay akaruhusiwa kwenda nyumbani kutoka hospital ya Vichaa, akapakiwa ktk ambulance hadi karibu na nyumbani kwake, akaulizwa unapakumbuka? akajibu ndio nyumba yangu ileee, mara wakatoka watoto wawili wamevaa uniform akasema
Open printable article βVichaa wawili walikuwa wamekaa sehemu ghafla ikapita ndege angani kichaa mmoja akasema ndege ile hitakua imembeba rais kichaa mwenzake akajibu hapana ile imebeba wazungu kama ingekuwa imembeba rais ungeona mapikipiki mbele
Open printable article βMlevi mmoja aliona wananchi wakipiga mwizi akawaambia "mwacheni msimpige, hii tabia yenu ya kupiga wezi mtakuja shtukia mnampiga Yesu, maana imeandikwa atakuja kama mwizi!"
Open printable article βMhindi kwenye mtihani wa kiswahili anaambiwa amalizie methali:(a)Nyani haoniβ¦..valisa miwani!(B)Debe tupuβ¦.weka dengu!(c)Masikini akipataβ¦.iko acha iba!(d)Penye kuku wengiβ¦chinja bili,tatu!(e)Asiyesikia la mkuuuβ¦.peleka yeye polisi!(f)Penye wengiβ¦β¦iko kutano ya chadema!
Open printable article βJamaa fulani alikuwa ame2lia beach mzungu akapita akamuliza "Are u relax ? Jamaa akawa hamuelewi akamjibu No! Mzungu mwengine akapita akamuliza vilevile akajibu No!Akaona hapa anasumbuliwa akasogea mbele kidogo ya maji akamuona mzungu mmoja alikuwa ame2lia. Akamuliza "are u relax? Mzungu akajibu yesβ¦
Open printable article βFoleni ndeeeeefu jamaa yupo kwenye daladala anaenda kazini kaona heri amuandikie boss wake msg kumtaarifu kuwa atachelewa ile anatakubofya SEND kibaka akaipitia simu. Jamaa kaishia kupga kelele "bonyeza send, bonyeza send wewe" abiria wote hawana mbavu
Open printable article βMtoto: baba eti Botwasna ipo wap?Baba: angalia itakuwa humo humo kabatini maana mama yako nae kwa kuficha kuficha vitu hajamboβ¦
Open printable article βMtoto: Baba nitumie pesa ya matumizi huku shuleni hali ni mbaya sana la sivyo najinyonga.Baba: Huku nyumbani hali ni mbaya kuliko huko shuleni kwahiyo kama unajinyonga utapunguza Bajeti, kopa Kamba dukani kwa Mangi nitalipa nikija kuchukua Maiti yako, Mungu akulaze mahali pema peponi Mwananguβ¦..
Open printable article βKulikuwa na semina ya wanawake kuhusu namna ya kuishi kwa upendo katika ndoa.Mwalimu aliwauliza ni wangapi wanawapenda waume zao? Wote wakanyoosha mikono kama ishara ya kuwa wanawapenda waume zao.Mwalimu akauliza tena, βNi lini mara ya mwisho umemwambia mumeo βNakupenda Mpenziβ?Majibu yalikuwa kama β¦
Open printable article βKuna Daktari wa Moyo alifariki wakamchongeaa jeneza lenye umbo la Moyo. Ghafla Daktari mwingine akaanza kucheka, watu wakamuuliza "kwanini unacheka unafurahia mwenzako kufariki?" Daktari yule akajibu "hapana mimi ni Daktari wa kutahiri nafikilia nikifa mtanichongea jeneza lenye umbo la β¦."
Open printable article β