πMapishi ya Biriani Ya Kuku Wa Kuchoma Wa Tanduri
MahitajiMchele - 4 vikombeKuku - 1Vitunguu - 3Nyanya/tungule - 4Zabibu kavu - Β½ kikombeTangawizi na kitunguu (thomu/galic) - 2 vijiko cha supuPilipili mbichi iliyosagwa - 1 kijiko cha supuMtindi (yoghurt) - 2 kijiko cha supuMasala ya tanduri - 2 vijiko vya supuPilipili manga - 1 kijiko cha chaiHilikβ¦
Open printable article βπMapishi ya Ugali Kwa Mchuzi Wa Samaki Wa Kuchoma
Vipimo Vya UgaliUnga wa mahindi - 4 vikombeMaji - 6 kiasiNamna Ya Kutayarisha Na KupikaTia maji kiasi katika sufuria wacha yachemke hasaTia unga kidogo kidogo huku ukikoroga mpaka ukamatanePunguza moto huku ukiendelea kuusongaEndelea kusonga kwa dakika kadhaa mpaka uanze kuchambukaKisha mimina kwenyβ¦
Open printable article βπMapishi ya Pilau Ya Nyama Ng'ombe Karoti Na Zabibu
Vipimo - NyamaNyama ngβombe ya mifupa ilokatwa vipande - 1 kiloTangawizi na thomu (somu/garlic) ilosagwa - 2 vijiko vya supuBizari mchanganyiko/garama masala - 1 kijiko cha chaiChumvi - KiasiVipimo - WaliMchele - 4 glassMbatata/viazi menya katakata - 3 kubwaVitunguu katakata - 5Kitunguu thomu kilosaβ¦
Open printable article βπMapishi ya Muhogo Na Mbatata Za Nazi Kwa Nyama Ngombe
Vipimo - Mahitaji Ya NyamaNyama ya nβgombe ya mifupa - 3 lbTangawizi mbichi ilosagwa - 1 kijiko cha supuKitunguu thomu - 1 kijiko cha supuBizari ya pilau/jira/uzile (cumin) - 1 kijiko cha supuNdimu - 1Kitunguu kilokatwakatwa (chopped) - 1 cha wastanPilipili mbichi - 3 ZilizosagwaChumvi - KiasiVipimoβ¦
Open printable article βπMapishi ya Ugali Kwa Mchuzi Wa Kamba Wa Nazi, Kisamvu Na Kachumbari Ya Papa Mkavu
Vipimo - UgaliMaji - 4 vikombe kiasi inategemea na unga wenyewe.Unga wa sembe - 2 vikombeNamna Ya Kutayarisha Na KupikaTia maji kiasi katika sufuria, weka motoni, yakipata moto korogea unga wa sembe kiasi na ufanye uji mzito uache uchemke vizuri huku ukikoroga.Chota kibakuli kimoja cha uji huo weka β¦
Open printable article βπMapishi ya Wali Wa Nazi Kwa Mchuzi Wa Samaki Na Rojo La Bilingani Na Viazi/Mbatata
Wali Wa NaziMpunga - 4 vikombeTui la nazi - 6 vikombeChumvi - KiasiNamna Ya Kutayarisha Na KupikaOsha mchele kishaBandika tui jikoni likichemka tia mchele na chumvi.Funika uchemke, tui likikauka wacha moto mdogomdogo hadi wali uive ukiwa tayari. Ikiwa unatumia mkaa unapalia juu yake.Mchuzi Wa Samakiβ¦
Open printable article βπJinsi ya kutengeneza Wali Wa Dengu Kwa Samaki Wa Kukaanga
MahitajiMchele wa basmati - 3 VikombeDengu - 2 vikombeViazi - 3 vikubwaKitunguu - 2 kubwaNyanya - 2Pilipili mbichi kubwa - 3Pilipilimanga - Β½ kijiko cha chaiGarama Masala (bizari mchanganyiko) -1 kijiko cha chaiSupu ya vidonge (stock cubes) - 2 vidongeChumvi - kiasiMafuta - ΒΌ kikombeZaafarani - 1 kiβ¦
Open printable article βπJinsi ya kupika Juisi Ya Mabungo
MahitajiKupata takriban gilasi 6Mabungo - 3Maji - 6 au 7 GilasiSukari - kiasi upendachoChumvi - kidogo sanaNamna Ya Kutayarisha:Kata mabungo na toa nyama yake tia katika mashine ya kusagia.Tia maji, sukari na chumvi usage kidogo tu.Chuja kisha mimina katika jagi uweke katika friji.Mimina katika gilaβ¦
Open printable article βπJinsi ya kupika Pilau Ya Nyama Ya Ng'ombe Na Nyanya
Viambaupishi Mchele (Basmati) 3 vikombe Nyama ya ngoβmbe 1 kg Pilipili boga 1 kubwa Nyanya 2 kubwa Vitunguu maji 2 vikubwa Kitunguu saumu(thomu/galic) iliyosagwa 1 kijiko cha supu Tangawizi 1 kijiko cha chai Ndimu 1 Mafuta ya kupikia Β½ kikombe Mdalasini Β½ kijiko cha chai Binzari nyembamba 1 kijiko cβ¦
Open printable article βπJinsi ya kupika Wali Wa Sosi Ya Tuna
ViambaupishiSosi Ya tunaTuna (samaki/jodari) 2 VikopoVitunguu (kata kata) 4Nyanya zilizosagwa 5Nyanya kopo 3 Vijiko vya supuViazi (vilivyokatwa vipande vidogo - cubes) 4Dengu (chick peas) 1 kikombeKitunguu saumu(thomu/galic)&Tangawizi iliyosagwa 1 Kijiko cha supuHiliki 1/4 kijiko cha chaiMchanganyikβ¦
Open printable article βπJinsi ya kupika Vileja
VIPIMOUnga wa mchele 500gSamli 250gSukari 250gHiliki iliyosagwa 1/2 kijiko cha chaiArki (rose flavour) 1/2 kijiko cha chaiBaking powder 1 kijiko cha chaiMayai 4Maji ya baridi 1/2 kikombe cha chaiNAMNA YA KUTAYRISHA NA KUPIKA1. Saga sukari iwe laini kiasi, changanya unga wa mchele, baking powder, hilβ¦
Open printable article βπMapishi ya Pilau Ya Sosi Ya Soya Na Mboga
ViambaupishiKuku (mkate mkate vipande) 1Mchele wa Basmati (rowanisha) 3 magiMdalasini 1 mchi mmojaVitunguu maji (vilivyokatwa vyembamba) 6Mchanganyiko wa mboga za barafu 1 magi(karoti, mahindi, njegere)Kabichi (iliyokatwa katwa nyembamba) 1 magiPilipili mbichi (iliyosagwa) 3Pilipili boga iliyokatwa β¦
Open printable article βπJinsi ya kupika Biskuti Za Tende
Viamba upishi Unga 4 Vikombe vya chai Sukari ya laini (icing sugar) 1 Kikombe cha chai Baking powder 2 Vijiko vya chai Mayai 2 Siagi au margarine 1 Kikombe cha chai Vanilla 1 Kijiko cha chai Maziwa ya kuchanganyia kiasi Tende iliyotolewa koko 1 Kikombe ufuta (sasame) kiasi 1/4 kikombe Jinsi ya kuandβ¦
Open printable article βπJinsi ya kupika Vileja Vya Tambi
Viambaupishi Tambi (vermiceli Roasted) Mifuko 2 Siagi 4 Vijiko vya supu Maziwa (condensed) 300Ml Lozi zilizokatwakatwa 1 kikombe Zabibu kavu 1 Kikombe Arki (essence) 1 Kijiko cha supu Jinsi ya kuandaa na kupika 1) Weka karai kwenye moto kiasi 2) Tia siagi 3) Tia tambi uzikaange usiachie mkoni mpaka β¦
Open printable article βπJinsi ya kupika Biskuti Za Tende Na Ufuta
ViambaupishiUnga 3 Vikombe vya chaiBaking powder 1 Β½ Vijiko vya chaiSukari 1 Kikombe cha chaiSiagi 1 Kikombe cha chaiMayai 2Maji kiasi ya kuchanganyiaTende 1 Kikombeufuta ΒΌ kikombeJinsi ya kuandaa na kupika1. Changanya unga, siagi, baking powder, na sukari katika bakuli2. Tia mayai, na maji kidogo uβ¦
Open printable article β