PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

Upishi na Maandalizi ya Milo yenye Afya Β· 266

πŸ“„

Mapishi ya Biriani Ya Kuku Wa Kuchoma Wa Tanduri

MahitajiMchele - 4 vikombeKuku - 1Vitunguu - 3Nyanya/tungule - 4Zabibu kavu - Β½ kikombeTangawizi na kitunguu (thomu/galic) - 2 vijiko cha supuPilipili mbichi iliyosagwa - 1 kijiko cha supuMtindi (yoghurt) - 2 kijiko cha supuMasala ya tanduri - 2 vijiko vya supuPilipili manga - 1 kijiko cha chaiHilik…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Ugali Kwa Mchuzi Wa Samaki Wa Kuchoma

Vipimo Vya UgaliUnga wa mahindi - 4 vikombeMaji - 6 kiasiNamna Ya Kutayarisha Na KupikaTia maji kiasi katika sufuria wacha yachemke hasaTia unga kidogo kidogo huku ukikoroga mpaka ukamatanePunguza moto huku ukiendelea kuusongaEndelea kusonga kwa dakika kadhaa mpaka uanze kuchambukaKisha mimina kweny…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Pilau Ya Nyama Ng'ombe Karoti Na Zabibu

Vipimo - NyamaNyama ng’ombe ya mifupa ilokatwa vipande - 1 kiloTangawizi na thomu (somu/garlic) ilosagwa - 2 vijiko vya supuBizari mchanganyiko/garama masala - 1 kijiko cha chaiChumvi - KiasiVipimo - WaliMchele - 4 glassMbatata/viazi menya katakata - 3 kubwaVitunguu katakata - 5Kitunguu thomu kilosa…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Muhogo Na Mbatata Za Nazi Kwa Nyama Ngombe

Vipimo - Mahitaji Ya NyamaNyama ya n’gombe ya mifupa - 3 lbTangawizi mbichi ilosagwa - 1 kijiko cha supuKitunguu thomu - 1 kijiko cha supuBizari ya pilau/jira/uzile (cumin) - 1 kijiko cha supuNdimu - 1Kitunguu kilokatwakatwa (chopped) - 1 cha wastanPilipili mbichi - 3 ZilizosagwaChumvi - KiasiVipimo…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Ugali Kwa Mchuzi Wa Kamba Wa Nazi, Kisamvu Na Kachumbari Ya Papa Mkavu

Vipimo - UgaliMaji - 4 vikombe kiasi inategemea na unga wenyewe.Unga wa sembe - 2 vikombeNamna Ya Kutayarisha Na KupikaTia maji kiasi katika sufuria, weka motoni, yakipata moto korogea unga wa sembe kiasi na ufanye uji mzito uache uchemke vizuri huku ukikoroga.Chota kibakuli kimoja cha uji huo weka …

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Wali Wa Nazi Kwa Mchuzi Wa Samaki Na Rojo La Bilingani Na Viazi/Mbatata

Wali Wa NaziMpunga - 4 vikombeTui la nazi - 6 vikombeChumvi - KiasiNamna Ya Kutayarisha Na KupikaOsha mchele kishaBandika tui jikoni likichemka tia mchele na chumvi.Funika uchemke, tui likikauka wacha moto mdogomdogo hadi wali uive ukiwa tayari. Ikiwa unatumia mkaa unapalia juu yake.Mchuzi Wa Samaki…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kutengeneza Wali Wa Dengu Kwa Samaki Wa Kukaanga

MahitajiMchele wa basmati - 3 VikombeDengu - 2 vikombeViazi - 3 vikubwaKitunguu - 2 kubwaNyanya - 2Pilipili mbichi kubwa - 3Pilipilimanga - Β½ kijiko cha chaiGarama Masala (bizari mchanganyiko) -1 kijiko cha chaiSupu ya vidonge (stock cubes) - 2 vidongeChumvi - kiasiMafuta - ΒΌ kikombeZaafarani - 1 ki…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kupika Juisi Ya Mabungo

MahitajiKupata takriban gilasi 6Mabungo - 3Maji - 6 au 7 GilasiSukari - kiasi upendachoChumvi - kidogo sanaNamna Ya Kutayarisha:Kata mabungo na toa nyama yake tia katika mashine ya kusagia.Tia maji, sukari na chumvi usage kidogo tu.Chuja kisha mimina katika jagi uweke katika friji.Mimina katika gila…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kupika Pilau Ya Nyama Ya Ng'ombe Na Nyanya

Viambaupishi Mchele (Basmati) 3 vikombe Nyama ya ngo’mbe 1 kg Pilipili boga 1 kubwa Nyanya 2 kubwa Vitunguu maji 2 vikubwa Kitunguu saumu(thomu/galic) iliyosagwa 1 kijiko cha supu Tangawizi 1 kijiko cha chai Ndimu 1 Mafuta ya kupikia Β½ kikombe Mdalasini Β½ kijiko cha chai Binzari nyembamba 1 kijiko c…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kupika Wali Wa Sosi Ya Tuna

ViambaupishiSosi Ya tunaTuna (samaki/jodari) 2 VikopoVitunguu (kata kata) 4Nyanya zilizosagwa 5Nyanya kopo 3 Vijiko vya supuViazi (vilivyokatwa vipande vidogo - cubes) 4Dengu (chick peas) 1 kikombeKitunguu saumu(thomu/galic)&Tangawizi iliyosagwa 1 Kijiko cha supuHiliki 1/4 kijiko cha chaiMchanganyik…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kupika Vileja

VIPIMOUnga wa mchele 500gSamli 250gSukari 250gHiliki iliyosagwa 1/2 kijiko cha chaiArki (rose flavour) 1/2 kijiko cha chaiBaking powder 1 kijiko cha chaiMayai 4Maji ya baridi 1/2 kikombe cha chaiNAMNA YA KUTAYRISHA NA KUPIKA1. Saga sukari iwe laini kiasi, changanya unga wa mchele, baking powder, hil…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Pilau Ya Sosi Ya Soya Na Mboga

ViambaupishiKuku (mkate mkate vipande) 1Mchele wa Basmati (rowanisha) 3 magiMdalasini 1 mchi mmojaVitunguu maji (vilivyokatwa vyembamba) 6Mchanganyiko wa mboga za barafu 1 magi(karoti, mahindi, njegere)Kabichi (iliyokatwa katwa nyembamba) 1 magiPilipili mbichi (iliyosagwa) 3Pilipili boga iliyokatwa …

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kupika Biskuti Za Tende

Viamba upishi Unga 4 Vikombe vya chai Sukari ya laini (icing sugar) 1 Kikombe cha chai Baking powder 2 Vijiko vya chai Mayai 2 Siagi au margarine 1 Kikombe cha chai Vanilla 1 Kijiko cha chai Maziwa ya kuchanganyia kiasi Tende iliyotolewa koko 1 Kikombe ufuta (sasame) kiasi 1/4 kikombe Jinsi ya kuand…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kupika Vileja Vya Tambi

Viambaupishi Tambi (vermiceli Roasted) Mifuko 2 Siagi 4 Vijiko vya supu Maziwa (condensed) 300Ml Lozi zilizokatwakatwa 1 kikombe Zabibu kavu 1 Kikombe Arki (essence) 1 Kijiko cha supu Jinsi ya kuandaa na kupika 1) Weka karai kwenye moto kiasi 2) Tia siagi 3) Tia tambi uzikaange usiachie mkoni mpaka …

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kupika Biskuti Za Tende Na Ufuta

ViambaupishiUnga 3 Vikombe vya chaiBaking powder 1 Β½ Vijiko vya chaiSukari 1 Kikombe cha chaiSiagi 1 Kikombe cha chaiMayai 2Maji kiasi ya kuchanganyiaTende 1 Kikombeufuta ΒΌ kikombeJinsi ya kuandaa na kupika1. Changanya unga, siagi, baking powder, na sukari katika bakuli2. Tia mayai, na maji kidogo u…

Open printable article β†’