πKwa nini tarehe ya Pasaka hubadilika
KALENDA za mwanzo ziliutumia mwezi wa angani kama kipimo cha muda. Ziliitwa βLunar calenderβ au Kalenda-Mwezi. Tarehe 1 ya Mwezi ilikuwa ni siku ulipoandama yaani Mwezi-Mdogo (Crescent Moon). Mwezi unapofika siku ya 15 unakuwa umefikia ukubwa wa juu na huitwa β¦
Open printable article βπMaana ya jina Bikira Maria
Jina asili kwa Kiaramu ni ΧΧ¨ΧΧ, MaryΔm lenye maana ya "Bibi"; watafsiri wa kwanza wa Biblia ya Kiebrania wanaojulikana kama Septuaginta (LXX) waliliacha kama lilivyo wakiandika kwa Kigiriki ΞΞ±ΟΞ―Ξ±ΞΌ, Mariam, au walilifupisha wakiandika ΞΞ±ΟΞ―Ξ±, Maria.Katika Kuraniβ¦
Open printable article βπKanuni ya Mungu kuhusu mema
Unapoona mtu, jambo, kitu ni chema na kinakupendeza,Mungu naye anakifanya chema. Kwa maana anapenda kile tunachokipenda kama tuu hakina mawaa.Mfano. Mungu anakubali mtu unayetaka kufunga nae ndoa kama unampenda na unaona ni sawa
Open printable article βπNjia Kuu 3 za Kuiishi Huruma ya Mungu
Kuna njia Tatu kuu za Kuiishi Huruma ya Mungu ambazo ni kama ifuatavyo;MatendoHii ni kwa kutenda matendo ya Huruma kwa wengineManenoHii ni kwa kunena maneno ya Huruma kwa wengineSalaKusali kwa kuwaombea wengine Huruma ya Mungu
Open printable article βπUtaratibu wa Mkristo Mkatoliki Kanisani
Ninapoingia kanisani nachovya maji ya baraka na kusema;"Unitakase Ee Bwana mimi na uovu wangu wote, ili nipate kustahili kushiriki ibada takatifu' Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu" Amina!Ninapiga goti huku nikisema"Mungu wangu na Bwana wangu"πβ¦
Open printable article βπNafasi ya Bikira Maria Katika Kanisa Katoliki
Kanisa katoliki linamthamini Bikira Maria kama Mama wa Mungu, Mama wa Kristu, Mama wa Mkombozi pia Mama wa uhai kuna maneno kadhaa hutumika pia kufafanua zaidi hiyo heshima mfano HYPERDULIA zaidi yaβ¦. Bikira Maria tunamheshimu zaidi ya watakatifu, PROTODULIA iβ¦
Open printable article βπThamani ya Kazi ya Upadre
UPADRE NI KAZI YA PEKEE YA HEKIMA, UWEZO NA MAPENDO YA UMUNGU WA KRISTU. KAMWE USIMSHAMBULIE PADRE. "Yesu Maria na Yosefu nawapenda, ziokoeni Roho. KUMTETA PADRE [Haya ni maelezo ya Bwana wetu kwa Mutter Vogel.] " Kamwe mtu asimshambulie Padre hata anapokuwa kβ¦
Open printable article βπUsiyumbishwe na kila upepo wa mafundisho
FROM FR TITUS AMIGUSiku moja, miaka kama 14 hivi iliyopita, nilimzingua mchungaji wa kikanisa fulani. Alinijia mbio na kuniambia, "Atiβ¦ Kadinali wenu amesema kuwa pombe sio dhambi! Kwanini usihame huko? Angalia sasa, hata kiongozi wenu wa juu wa Kanisa amekoseβ¦
Open printable article βπMafundisho na mapokeo Katika Kanisa Katoliki yanapopatikana kwenye Biblia
Wakatoliki wengi huyumbishwa kwa kuambiwa huamini mambo ambayo hayako au ni kinyume na Biblia. Aya zifuatazo zitakusaidia wewe mkatoliki kuelewa au kujua mistari ya Biblia inayofafanua imani katoliki.1) KUOMBEA MAREHEMU:2 Mak. 12:38-46Hek. 3:1Tob 4:172) MATUMIβ¦
Open printable article βπMambo ya kufahamu katika kipindi cha kwaresima
Nini maana ya Kwaresima? Kwa Kilatini na Kiitaliano neno Kwaresima lilimaanisha β40β yaani siku 40 za kufunga za wiki kati ya Jumatano ya Majivu hadi Jumamosi Kuu. Kwa Kijerumani Kwaresima maana yake βKipindi cha kufunga.β Kwaresima ilianzaje? Kabla ya kuona Kβ¦
Open printable article βπMaana ya siku ya Jumatano ya Majivu
Utangulizi Wakati umetimia na ufalme wa Mungu umekaribia, tubuni na kuiamini Injili, (Mk 1:15), haya ndiyo maneno ya kwanza ya Yesu ambayo kadri ya Mwinjili Marko yanafungua kazi ya hadhara ya Yesu, kwa maana hiyo kazi ya Yesu inaanza kwa kuwaandaa watu katikaβ¦
Open printable article βπIjue Ishara ya Msalaba
Ishara ya Msalaba ni tendo la mtu kugusa paji la uso, kifua na mabega kwa kutumia mkono wa kulia na kutamka 'Kwa Jina la Baba, na la Mwana na la Roho Mtakatifu, Amina'.Kugusa paji la uso tuna maana kukubali kwa akili, kugusa kifua maana yake ni kupokea na kuupβ¦
Open printable article βπMaana kamili ya Kwaresma
Neno kwaresma ni neno la kilatini liitwalo Quadragesima maana yake ni arobaini(40). Mpenzi msomaji, katika maisha ya kikristo kuna kipindi cha siku 40.majira haya ya kwaresma huanza siku ya jumatano ya majivu na kuishia jumapili ya pasaka siku ambayo wakristo β¦
Open printable article βπNifunge nini Kwaresma? Mambo ya kufunga kipindi cha Kwaresima
NIFUNGE NINI?Funga huzuni upate furaha,Funga ulabu upate siha,Funga majivuno upata utukufu,Funga uzinzi upate wongofu,Funga kisirani upate utakatifu, Funga umbea upate fanaka,Funga wivu upata baraka,Funga unafiki upate uchaji,Funga kinyongo upate faraja,Funga β¦
Open printable article βπMATATIZO YANAYORUDISHA UIMBAJI WA KWAYA KATOLIKI NYUMA
1.Kuwaimbia binadamu.Yaani tupo kwa ajili ya kuimba ili tusifiwe na watu.2.Kuimba bila tafakari.Mara nyingi tunaimba tu bila kuzingatia ujumbe Wa ule wimbo3.Kuimba bila kusali!Yasemekana Kuimba ni kusali Mara mbili.Waimbaji wengi hukariri wimbo na nyimbo nyingβ¦
Open printable article β