Sidebar with Floating Button
AckySHINE ๐Ÿ”
โ˜ฐ

Biblia inavyothibitisha kuwa Bikira Maria Mama wa Yesu ni Mama wa Wakristu Wote

โ€ข
Author/Editor: Melkisedeck Leon Shine, 2015-2017: AckySHINE.com
Featured Image
Ufunuo 12:17
17Kisha lile joka likapatwa na hasira kali kwa ajili ya huyo mwanamke,ย likaondoka ili kupigana vita na watoto waliosalia wa huyo mwanamke, yaani, wale wanaozitii amri za Mungu na kuushika ushuhuda wa Yesu Kristo.
Kwa hiyo Bikira Maria ni Mama wa Wakritu wote yaani, wale wanaozitii amri za Mungu na kuushika ushuhuda wa Yesu Kristo

Ukisoma kwa urefu inasomeka hivi

Ufunuo 12:1-18

1 Kukaonekana ishara kuu mbinguni:ย Palikuwa na mwanamke aliyevikwa jua na mwezi ukiwa chini ya miguu yake na taji ya nyota kumi na mbili ilikuwa kichwani mwake.ย 2Alikuwa na mimba naye akilia kwa uchungu kwa kuwa alikuwa anakaribia kuzaa. 3Kisha ishara nyingine ikaonekana mbinguni: Likaonekana joka kubwa jekundu lenye vichwa saba na pembe kumi na taji saba katika vichwa vyake. 4Mkia wake ukakokota theluthi ya nyota zote angani na kuziangusha katika nchi. Ndipo lile joka likasimama mbele ya yule mwanamke aliyekuwa karibu kuzaa ili lipate kumla huyo mtoto mara tu atakapozaliwa. 5Yule mwanamke akazaa mtoto mwanamume, atakayeyatawala mataifa yote kwa fimbo yake ya utawala ya chuma. Lakini huyo mtoto akanyakuliwa na kupelekwa kwa Mungu kwenye kiti Chake cha enzi. 6Yule mwanamke akakimbilia nyikani, ambako Mungu alikuwa amemtayarishia mahali ili apate kutunzwa huko kwa muda wa siku 1,260. 7 Basi palikuwa na vita mbinguni: Mikaeli na malaika zake wakapigana na hilo joka, nalo joka pamoja na malaika zake likapigana nao. 8Lakini joka na malaika zake wakashindwa na hapakuwa tena na nafasi kwa ajili yao mbinguni. 9Lile joka kuu likatupwa chini, yule nyoka wa zamani aitwaye Ibilisi au Shetani, aupotoshaye ulimwenguni wote. Akatupwa chini duniani, yeye pamoja na malaika zake. Ushindi 10Kisha nikasikia sauti kuu mbinguni ikisema, โ€œSasa Wokovu na uweza na Ufalme wa Mungu wetu umekuja na mamlaka ya Kristo wake. Kwa kuwa ametupwa chini mshtaki wa ndugu zetu, anayewashtaki mbele za Mungu usiku na mchana. 11Nao wakamshinda kwa damu ya Mwana-Kondoo na kwa neno la ushuhuda wao. Wala wao hawakuyapenda maisha yao hata kufa. 12Kwa hiyo, furahini ninyi mbingu na wote wakaao humo! Lakini ole wenu nchi na bahari, kwa maana huyo Shetani ameshuka kwenu, akiwa amejaa ghadhabu, kwa sababu anajua ya kuwa muda wake ni mfupi!โ€™ 13Lile joka lilipoona kuwa limetupwa chini duniani, lilimfuatilia yule mwanamke aliyekuwa amezaa mtoto mwanamume. 14Lakini huyo mwanamke akapewa mabawa mawili ya tai mkubwa, kusudi aweze kuruka mpaka mahali palipotayarishwa kwa ajili yake huko nyikani, ambako atatunzwa kwa wakati na nyakati na nusu wakatia ambako yule joka hawezi kufika. 15Ndipo lile joka likamwaga maji kama mto kutoka kinywani mwake, ili kumfikia huyo mwanamke na kumkumba kama mafuriko. 16Lakini nchi ikamsaidia huyo mwanamke kwa kufungua kinywa na kuumeza huo mto ambao huyo joka alikuwa ameutoa kinywani mwake.ย 17Kisha lile joka likapatwa na hasira kali kwa ajili ya huyo mwanamke, likaondoka ili kupigana vita na watoto waliosalia wa huyo mwanamke, yaani, wale wanaozitii amri za Mungu na kuushika ushuhuda wa Yesu Kristo. Lile joka likasimama kwenye mchanga wa bahari.ย 18Yule joka akajikita katika mchanga ulioko ufuoni mwa bahari.

Tunajifunza nini

Mwanamke ni Bikira Maria

Mwanamke aliyetukuzwa Uf 12:1

1 Kukaonekana ishara kuu mbinguni:ย Palikuwa na mwanamke aliyevikwa jua na mwezi ukiwa chini ya miguu yake na taji ya nyota kumi na mbili ilikuwa kichwani mwake.

Anamzaa mtoto

Analindwa nyoka asimdhuru

Nyoka anapambana na wanawe

IShara ya joka kama Shetani

Akisubiri kuzaliwa kwa mtoto ili amdhuru kisha alishindwa na kutupwa duniani na kutaka kupambana na yule mwanamke Akashindwa na kuishia kupambana na watoto wa Yule mwanamke yaani, wale wanaozitii amri za Mungu na kuushika ushuhuda wa Yesu Kristo Uf 12:17

Mtoto Aliyezaliwa mwenye mamlaka

Ambaye ndiye Yesu Kristu

Kwa hiyo, Bikira Maria Aliwezeshwa kumshinda Shetani na ni Mama wa Wakristu wote

AckySHINE Solutions
โœจ Join AckySHINE for more features! โœจ

Comments 50

Please log in or register to comment or reply.
๐Ÿ‘ฅ Josephine Nduta Guest May 24, 2024
Hata chembe ya haradali ya imani inaweza kusogeza milima
๐Ÿ‘ฅ Alice Jebet Guest May 19, 2024
Rehema zake ni ukumbusho wa daima wa upendo wake
๐Ÿ‘ฅ David Chacha Guest May 4, 2024
Dumu katika Bwana.
๐Ÿ‘ฅ Stephen Kikwete Guest Feb 26, 2024
Imani inakua imara zaidi wakati wa majaribu
๐Ÿ‘ฅ Wilson Ombati Guest Nov 6, 2023
Katika imani, yote yanawezekana
๐Ÿ‘ฅ Miriam Mchome Guest Oct 27, 2023
Neema na amani iwe nawe.
๐Ÿ‘ฅ Stephen Kikwete Guest Sep 20, 2023
Mwamini Bwana kwa moyo wako wote, na usitegemee ufahamu wako mwenyewe
๐Ÿ‘ฅ Sarah Karani Guest Aug 26, 2023
Mwamini Bwana; anajua njia
๐Ÿ‘ฅ Rose Waithera Guest Aug 15, 2023
Upendo wa Mungu haukosei kamwe.
๐Ÿ‘ฅ Sharon Kibiru Guest Jun 14, 2023
Mwamini katika mpango wake.
๐Ÿ‘ฅ Lucy Mushi Guest Jan 30, 2023
Wakati wa Mungu ni kamilifu
๐Ÿ‘ฅ Rose Amukowa Guest Nov 21, 2022
Katika giza, nuru yake inaangaza zaidi
๐Ÿ‘ฅ Grace Wairimu Guest Nov 3, 2022
Rehema hushinda hukumu
๐Ÿ‘ฅ Anna Mchome Guest Sep 24, 2022
Tumeokolewa kwa rehema zake, si kwa matendo yetu
๐Ÿ‘ฅ Anthony Kariuki Guest Sep 7, 2022
Mungu ni mwema, wakati wote!
๐Ÿ‘ฅ Joyce Aoko Guest Mar 29, 2022
Nguvu hutoka kwa Bwana
๐Ÿ‘ฅ Joseph Njoroge Guest Sep 23, 2021
Katika uwepo wake, kuna ukamilifu wa furaha
๐Ÿ‘ฅ Grace Njuguna Guest Apr 22, 2021
Upendo wa Mungu na rehema zake havikosei kamwe
๐Ÿ‘ฅ Violet Mumo Guest Apr 14, 2021
Mungu ana kusudi hata katika maumivu yako
๐Ÿ‘ฅ Michael Mboya Guest Apr 10, 2021
Kwa Mungu, yote yanawezekana
๐Ÿ‘ฅ Monica Nyalandu Guest Apr 4, 2021
Rehema za Mungu ni mpya kila asubuhi
๐Ÿ‘ฅ Peter Otieno Guest Mar 14, 2021
Mungu ni mwaminifu; hatakuacha kamwe wala hatakupungukia
๐Ÿ‘ฅ Monica Lissu Guest Feb 24, 2021
Ahadi za Mungu ni za kweli daima
๐Ÿ‘ฅ Stephen Kikwete Guest Feb 18, 2021
Rehema za Mungu ni kubwa kuliko kosa lolote
๐Ÿ‘ฅ Benjamin Masanja Guest Dec 31, 2020
Tumaini ni nanga ya roho
๐Ÿ‘ฅ Joyce Aoko Guest Oct 18, 2020
Tembea kwa imani, si kwa kuona
๐Ÿ‘ฅ Wilson Ombati Guest Apr 10, 2020
Mungu akubariki!
๐Ÿ‘ฅ Victor Malima Guest Apr 2, 2020
Rehema zake hudumu milele
๐Ÿ‘ฅ David Sokoine Guest Feb 17, 2020
Hadithi yako haijaisha; Mungu bado anaandika
๐Ÿ‘ฅ John Lissu Guest Jan 14, 2020
Wacha nuru yako iangaze mbele ya wengine
๐Ÿ‘ฅ Frank Sokoine Guest Jul 28, 2019
Baraka kwako na familia yako.
๐Ÿ‘ฅ Grace Njuguna Guest Dec 15, 2018
Neema ya Mungu inatosha kwako
๐Ÿ‘ฅ Linda Karimi Guest Oct 25, 2018
Katika udhaifu wetu, rehema za Mungu zinatupa nguvu
๐Ÿ‘ฅ Raphael Okoth Guest Sep 17, 2018
Nakuombea ๐Ÿ™
๐Ÿ‘ฅ Vincent Mwangangi Guest Aug 17, 2018
Imani inaweza kusogeza milima
๐Ÿ‘ฅ Victor Malima Guest Jun 7, 2018
Hauko peke yako; Mungu yuko nawe
๐Ÿ‘ฅ Daniel Obura Guest May 8, 2018
Rehema za Mungu ni mpya kila asubuhi
๐Ÿ‘ฅ Rose Mwinuka Guest May 3, 2018
Kuna tumaini kwa ajili ya siku zijazo, maana Mungu anajua mipango aliyokupangia
๐Ÿ‘ฅ Janet Mbithe Guest Apr 19, 2018
Katika rehema zake, Mungu husamehe na kurejesha
๐Ÿ‘ฅ Irene Makena Guest Nov 20, 2017
Imani ni kuwa na uhakika wa kile tunachotarajia na kujua kwa hakika kile ambacho hatuoni
๐Ÿ‘ฅ Faith Kariuki Guest Nov 17, 2017
Kupitia Kristo, tunapokea rehema za Mungu kwa wingi
๐Ÿ‘ฅ Victor Mwalimu Guest Aug 27, 2017
Sifa kwa Bwana!
๐Ÿ‘ฅ Lucy Kimotho Guest Jun 1, 2017
Endelea kuwa na imani!
๐Ÿ‘ฅ Emily Chepngeno Guest Feb 20, 2017
Anaponya mioyo iliyovunjika na kufunga majeraha yao
๐Ÿ‘ฅ Diana Mumbua Guest Jan 18, 2017
Bwana yuko karibu na wote wanaomwita
๐Ÿ‘ฅ Kenneth Murithi Guest Jan 12, 2017
Wacha imani yako iwe kubwa kuliko hofu yako
๐Ÿ‘ฅ Joseph Mallya Guest Jan 12, 2017
Endelea kuamini, hata ikiwa ni vigumu kuona njia
๐Ÿ‘ฅ Joseph Njoroge Guest Sep 17, 2016
Bwana atapigana kwa ajili yako; wewe unahitaji tu kutulia
๐Ÿ‘ฅ Peter Mbise Guest Mar 30, 2016
Mungu ni kimbilio letu na nguvu zetu, siku zote tayari kusaidia wakati wa shida
๐Ÿ‘ฅ Stephen Malecela Guest Jul 17, 2015
Mungu ana mpango kwa ajili yako, muamini

๐Ÿ”— Related Posts

๐Ÿ  Home ๐Ÿ“– Reading ๐Ÿ–ผ๏ธ Gallery ๐Ÿ’ฌ AI Chat ๐Ÿ“˜ About