Nini maana ya neno Albino?
Date: April 15, 2022
Author: SW - Melkisedeck Shine
Neno Albino linamaanisha
mtu mweupe, linatokana na
neno la lugha ya Kilatini -
albus-linamaanisha “eupe”.
Kuanzia karne ya 17 neno
Albino limekuwa likitumika
katika kueleza hali ya kundi
la viumbe hai (watu, wanyama
na hata mimea) ambao wana
upungufu au ukosefu wa rangi
katika ngozi, macho na nywele.
Kwa binadamu ni bora kutumia
maneno “Watu wanaoishi na
ualbino
kwani itamaanisha kuwa ni watu kama wengine ila wanaishi na
hali tofauti ya “ualbino”. Katika kitabu hiki maneno haya mawili
yatatumika.
Lugha inajenga dhana na kuunda hali ya ukweli / uhalisi. Kwa
sababu hiyo ni lazima tuache kutumia maneno kama “zeruzeru”.
Neno hili linamaanisha sifuri mara mbili au mtu asiye na
thamani. Utumiaji wa neno hili ni dharau ya utu na kulaumu
watu wanaoishi na ualbino kama kosa lao.
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
Kujenga ukaribu wa kiroho na msichana katika uhusiano ni jambo muhimu sana. Uhusiano wa kimapenzi...
Read More
Jambo la faragha kabisa ni ngono au kufanya mapenzi. Kila mtu ana hisia tofauti kuhusu suala hili...
Read More
Je, katika kujaribu fantasia za ngono/kufanya mapenzi pamoja na mwenza wako? Hii ni mada ambayo i...
Read More
Uwezekano wa kuambukizwa na Virusi vya UKIMWI na UKIMWI ukijamii ana na mtu mwenye virusi vya UKI...
Read More
Njia za Kusuluhisha Mazungumzo ya Mgawanyiko katika Uhusiano wako na Msichana
Kila uhusian...
Read More
Magonjwa ya zinaa husababishwa na vijidudu vya magonjwa na huambukizwa kwa kukutana kimwili na mt...
Read More
Habari yako rafiki! Leo, ningependa kuzungumza nawe kuhusu umuhimu wa kuwa na uelewa wa afya ya u...
Read More
-
Anza kwa kujenga urafiki mzuri
Kabla ya kuwa na uhusiano wa kimapenzi, ni muhimu kujeng...
Read More
-
Kujadili mipango ya uzazi na ngono/kufanya mapenzi kuna umuhimu mkubwa sana katika kuha...
Read More
Wapo baadhi ya Albino wenye macho ya kuchezacheza na
ambayo hayawezi kulenga pamoja. Hii ina...
Read More
Je, kuna umuhimu wa kujifunza kuhusu anatomi ya mwili wakati wa ngono/kufanya mapenzi? Ndiyo! Kwa...
Read More
Ubikira ni nini?: Maana halisi ya neno “bikira” ni mwanamke au mwanaume amb...
Read More
No comments yet. Be the first to share your thoughts!