Kuna aina nyingi za unyanyasaji wa jinsia na unaweza kutokea
kwa wote wanaume na wanawake. Kwa kawaida unajulikana
kama matumizi ya makusudi ya kutumia nguvu na uwezo na
kutishia au kwa hali halisi kinyume cha mtu au kikundi au
jamii ambapo matokeo yake yanaweza kuleta jeraha au kifo,
kuumia kisaikilojia, kutokukua au kudumaa.7 Chini ya sheria za
Tanzania8 unyanyasaji wa kijinsia ni pamoja na maneno, sauti
ishara au maonyesho ya sehemu za mwili kwa makusudi kinyume
na matakwa ya mtu.
Hakuna mtu anayeruhusiwa kujamiiana nawe bila ya ridhaa yako,
maana hii itakuwa ni ubakaji. Kumlazimisha mtu kujamiiana nawe kwa
kubadilishana na zawadi au kumpa kazi ni unyanyasaji wa kijinsia.
Kadhalika hakuna mtu anayeruhusiwa kushika viungo vya siri vya
uzazi, au kukupiga busu bila ya ridhaa yako. Tendo la ukeketaji ni
aina nyingine ya ukatili wa kijinsia.
Aina nyingine za unyanyasaji wa kijinsia ni pamoja na kumwita
mtu majina, kumlazimisha mtu kuvua nguo mbele za watu au
kumlazimisha mtu kujamiiana na mtu mwingine. Fikiria kwamba
unyanyasaji wa kijinsia ni tendo baya kwa haki za binadamu
na unasababisha maumivu kwa wahusika. Tukumbuke kwamba
uhusiano wa kimapenzi na watu waliokaribu nasi kwa mfano baba,
mama, kaka, dada, babu au bibi ni aina nyingine ya unyanyasaji
wa jinsia. Inajulikana kama kujamiiana kwa maharimu βincestβ
na inakatazwa kisheria.
Kuna aina nyingi za unyanyasaji wa jinsia na unaweza kutokea kwa wote wanaume na wanawake. Kwa kawaida unajulikana kama matumizi ya makusudi ya kutumia nguvu na uwezo na kutishia au kwa hali halisi kinyume cha mtu au kikundi au jamii ambapo matokeo yake yanaweza kuleta jeraha au kifo, kuumia kisaikilojia, kutokukua au kudumaa.7 Chini ya sheria za Tanzania8 unyanyasaji wa kijinsia ni pamoja na maneno, sauti ishara au maonyesho ya sehemu za mwili kwa makusudi kinyume na matakwa ya mtu. Hakuna mtu anayeruhusiwa kujamiiana nawe bila ya ridhaa yako, maana hii itakuwa ni ubakaji. Kumlazimisha mtu kujamiiana nawe kwa kubadilishana na zawadi au kumpa kazi ni unyanyasaji wa kijinsia. Kadhalika hakuna mtu anayeruhusiwa kushika viungo vya siri vya uzazi, au kukupiga busu bila ya ridhaa yako. Tendo la ukeketaji ni aina nyingine ya ukatili wa kijinsia. Aina nyingine za unyanyasaji wa kijinsia ni pamoja na kumwita mtu majina, kumlazimisha mtu kuvua nguo mbele za watu au kumlazimisha mtu kujamiiana na mtu mwingine. Fikiria kwamba unyanyasaji wa kijinsia ni tendo baya kwa haki za binadamu na unasababisha maumivu kwa wahusika. Tukumbuke kwamba uhusiano wa kimapenzi na watu waliokaribu nasi kwa mfano baba, mama, kaka, dada, babu au bibi ni aina nyingine ya unyanyasaji wa jinsia. Inajulikana kama kujamiiana kwa maharimu βincestβ na inakatazwa kisheria.
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
0 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Jinsi ya Kusimamia Uchungu wa Kupendwa na Msichana Kupendwa na msichana ni jambo la kufurahisha na la kipekee. Lakini, kama hatujui jinsi ya kukabiliaβ¦
Je, ngono/kufanya mapenzi ni sehemu muhimu ya uhusiano wa kimapenzi? Kwa wengi, kufanya mapenzi ni sehemu muhimu sana ya uhusiano wa kimapenzi. Kwa weβ¦
Inakadiriwa huchukua miezi mitatu tangu kuambukizwa na VVU hadi i virusi hivyo vionekane kwenye damu. Itakuwa kazi bure kukimbilia kwenda kupima VVU mβ¦
Sheria ya Tanzania inaeleza dawa zilizo halali na zisizo halali.Tumbaku imekubalika na jamii kwa muda mrefu, na ni katikamiaka kama hamsini iliyopita β¦
Inawezekana kwa msichana mdogo kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanaume mwenye umri mkubwa. Hata hivyo uzoefu umeonyesha kwamba uhusiano kama huo marβ¦
Kama kijana, kuna wakati unaweza kukutana na msichana na unataka kuzungumza naye kwa kina lakini unaogopa. Usiwe na wasiwasi, katika makala hii tutaanβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate