Kwa mwanaume, dalili ya kufikia mshindo ni uume kusimama halafu kumwaga manii . Manii kutotoka wakati wa kujamii ana inaweza kusababishwa na mambo mengi. Kutoa manii kunatumia nguvu nyingi za mwili.
Kwa hiyo chochote kile kinachompunguzia mwanaume nguvu za mwili kama vile maradhi mbalimbali, ulevi wa pombe au dawa za kulevya, njaa au lishe duni kunasababisha mwanaume ashindwe kutoa manii . Sababu nyingine muhimu ni kutokuwa tayari kimawazo au kutokuwa na huruma katika tendo la kujamii ana. Kama ulevi ni sababu ya shida yako, jitahidi kuyaacha mambo haya. Jaribu kutulia na kuongeza muda wa kutayarishana kimapenzi mpaka mtakapoona mko tayari.
Kwa mwanamke, kutofikia mshindo pia kuna sababu mbalimbali. Lakini mara nyingi i i inasababishwa na kutokuwa na subira katika maandalizi ya kujamii ana, kutokuwa tayari kimawazo au kuogopa matokeo ya kufanya mapenzi. Mwanamke akiwa tayari kimawazo kwa kujamii ana na mwanaume akijitahidi kumstarehesha vizuri, mwanamke atafikia mshindo bila shida. Pia kuwa wazi juu ya unachokipenda na usichokipenda i inasaidia sana katika kuwa na ngono ya kuridhisha kwenu wote wawili.
Kwa mwanaume, dalili ya kufikia mshindo ni uume kusimama halafu kumwaga manii . Manii kutotoka wakati wa kujamii ana inaweza kusababishwa na mambo mengi. Kutoa manii kunatumia nguvu nyingi za mwili. Kwa hiyo chochote kile kinachompunguzia mwanaume nguvu za mwili kama vile maradhi mbalimbali, ulevi wa pombe au dawa za kulevya, njaa au lishe duni kunasababisha mwanaume ashindwe kutoa manii . Sababu nyingine muhimu ni kutokuwa tayari kimawazo au kutokuwa na huruma katika tendo la kujamii ana. Kama ulevi ni sababu ya shida yako, jitahidi kuyaacha mambo haya. Jaribu kutulia na kuongeza muda wa kutayarishana kimapenzi mpaka mtakapoona mko tayari. Kwa mwanamke, kutofikia mshindo pia kuna sababu mbalimbali. Lakini mara nyingi i i inasababishwa na kutokuwa na subira katika maandalizi ya kujamii ana, kutokuwa tayari kimawazo au kuogopa matokeo ya kufanya mapenzi. Mwanamke akiwa tayari kimawazo kwa kujamii ana na mwanaume akijitahidi kumstarehesha vizuri, mwanamke atafikia mshindo bila shida. Pia kuwa wazi juu ya unachokipenda na usichokipenda i inasaidia sana katika kuwa na ngono ya kuridhisha kwenu wote wawili.
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
0 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Ukweli ni kwamba hakuna athari zinazojulikana kwakusubiri aukuacha kujamiiana hadi mtu afikie umri unaokubalika / utu uzimaau hata muda mrefu zaidi. Pβ¦
Je, kuna umuhimu wa kuweka mazingira ya kimapenzi kabla ya kufanya ngono au kufanya mapenzi? Ndio, kuna umuhimu mkubwa sana. Wakati mwingine watu hawaβ¦
Neno βbikiraβ ni mtu yeyote ambaye hajawahi kujamii ana maishani mwake, awe mwanamke au mwanaume.Zamani, watu walimtambua msichana bikira kwa njia ya β¦
Rafiki yako wa kike ana haki ya kukataa kujamiiana na wewe.Labda hayuko tayari kujamiiana au anapenda kusubiri mpakaafunge ndoa. Maamuzi yake yatakuwaβ¦
Leo tutazungumzia jinsi ya kuwa na mawasiliano mzuri na msichana. Kwa sababu ya tofauti za kijinsia, mara nyingi ni ngumu kwa wanaume kuwasiliana na wβ¦
Watu ambao wanaonekana tofauti na wengine (ama kwa misingiya kabila, rangi, dini, kimo au hata ualbino) wanapata shidaya kujichanganya katika jamii. Jβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate