Sidebar with Floating Button
AckySHINE πŸ”
☰

Alichojibu dalali baada ya kufumwa na mke wa mtu ndani ya nyumba ya kupanga

β€’
Author/Editor: Melkisedeck Leon Shine, 2015-2017: AckySHINE.com
Featured Image
Dalali aliwatafutia jamaa chumba Buguruni karibu na reli, nyumba nzuri sana. Jamaa na mkewe wakahamia kwa furaha, lakini furaha yao iliisha walipokuja gudundua nyumba ile iko karibu mno na reli treni ikipita mpaka kitanda kinacheza. Siku hiyo dalali akapita mke akamwita na kumwambia tatizo wakati treni inapita, wakaanza kubishana, yule mama akamwambia dalali kwa kuwa kuna treni itapita sasa hivi… njoo ndani uone mwenyewe. Bahati mbaya wakiwa wamejilaza kitandani ili dalali aone adhabu wanayopata, Mzee mwenye mali alirudi ghafla, akauliza, 'Nyie mnafanya nini hapa?' Masikini dalali kwa woga mkubwa akajibu' Tunangoja treni'
AckySHINE Solutions
✨ Join AckySHINE for more features! ✨

Comments 236

Please log in or register to comment or reply.
πŸ‘₯ Anna Sumari Guest Jul 2, 2017
πŸ€£πŸ€£πŸ˜„πŸ˜†
πŸ‘₯ Mwanaidha Guest May 3, 2017
Haha! Sijacheka hivi kwa muda mrefu! 🀣
πŸ‘₯ Grace Wairimu Guest Apr 5, 2017
πŸ˜†πŸ‘πŸ˜‚πŸ˜„
πŸ‘₯ Elizabeth Mtei Guest Apr 2, 2017
Ucheshi wa hali ya juu! πŸ˜‚πŸ‘
πŸ‘₯ Stephen Mushi Guest Mar 29, 2017
Kweli mnajua kuchekesha! πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ‘₯ Patrick Akech Guest Mar 21, 2017
Hii ni joke ya kipekee sana! πŸ˜‚πŸ‘
πŸ‘₯ Dorothy Majaliwa Guest Mar 13, 2017
Mna talent ya jokes! πŸ‘πŸ˜‚
πŸ‘₯ Joy Wacera Guest Feb 17, 2017
πŸ˜…πŸ˜‚πŸ‘ŒπŸ˜Š
πŸ‘₯ Rose Amukowa Guest Feb 6, 2017
Huyu mtu ni mcheshi sana! πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ‘₯ Jacob Kiplangat Guest Feb 2, 2017
Hii ni kali sana! πŸ˜‚πŸ€£
πŸ‘₯ Alice Mwikali Guest Feb 2, 2017
Hii imenikuna hadi nina furaha sana! πŸ˜ŠπŸ˜‚
πŸ‘₯ Violet Mumo Guest Jan 29, 2017
Ucheshi wenu ni wa hali ya juu! πŸ‘πŸ€£
πŸ‘₯ Mariam Kawawa Guest Dec 3, 2016
Nimecheka hadi nina furaha sana! 🀣😊
πŸ‘₯ Faith Kariuki Guest Nov 29, 2016
πŸ˜‚ Ninashiriki mara moja!
πŸ‘₯ Zuhura Guest Nov 29, 2016
πŸ˜† Bado nacheka, siwezi kuacha!
πŸ‘₯ Philip Nyaga Guest Nov 27, 2016
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
πŸ‘₯ Anna Sumari Guest Nov 21, 2016
🀣 Hii imewaka moto!
πŸ‘₯ Michael Mboya Guest Nov 21, 2016
πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜ŠπŸ˜…
πŸ‘₯ Catherine Naliaka Guest Oct 31, 2016
🀣 Kichekesho bora kabisa!
πŸ‘₯ Isaac Kiptoo Guest Oct 23, 2016
Mna kipaji cha ucheshi! πŸ‘πŸ˜‚
πŸ‘₯ Yusra Guest Oct 1, 2016
πŸ˜„ Umeshinda mtandao leo!
πŸ‘₯ Fatuma Guest Sep 1, 2016
🀣 Nalia kwa kicheko kweli!
πŸ‘₯ Nora Lowassa Guest Aug 11, 2016
Siwezi kusubiri kuieleza kwenye sherehe yangu inayofuata! πŸŽ‰
πŸ‘₯ James Mduma Guest Aug 10, 2016
πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ‘₯ Joseph Njoroge Guest Jul 22, 2016
πŸ˜‚ Ninaihifadhi hii!
πŸ‘₯ John Mwangi Guest Jul 11, 2016
Hii imenikuna! πŸ˜†πŸ˜Š
πŸ‘₯ Miriam Mchome Guest Jul 9, 2016
Sikutarajia hiyo punchlineβ€”kichekesho! 🀣
πŸ‘₯ George Wanjala Guest Jul 7, 2016
Nimecheka hadi nimepata furaha! πŸ˜ŠπŸ˜†
πŸ‘₯ Sumaya Guest Jul 7, 2016
Hii imeniboresha wakati wangu wa mapumziko! β˜•πŸ˜†
πŸ‘₯ Irene Akoth Guest Jun 12, 2016
Hii imenikuna sana! πŸ˜†πŸ˜…
πŸ‘₯ Joy Wacera Guest May 31, 2016
Nimecheka hadi machozi yanatoka! 🀣😭
πŸ‘₯ Nyota Guest Apr 29, 2016
πŸ˜… Nilihitaji kicheko hicho!
πŸ‘₯ Sarah Karani Guest Apr 18, 2016
Kweli mna ucheshi! πŸ˜‚πŸ€£
πŸ‘₯ Mary Mrope Guest Mar 25, 2016
Hii imenipa kicheko cha siku! πŸ˜‚πŸ€£
πŸ‘₯ Nancy Komba Guest Feb 28, 2016
Hii kichekesho ni ya kuhifadhi bila shaka! 😁
πŸ‘₯ Kijakazi Guest Feb 28, 2016
πŸ˜… Bado nacheka!
πŸ‘₯ Josephine Nekesa Guest Feb 8, 2016
Hii imenikumbusha enzi zile! πŸ˜…πŸ˜‚
πŸ‘₯ Sarah Karani Guest Feb 7, 2016
Nimecheka hadi nimesahau shida zangu! πŸ˜‚πŸ˜…
πŸ‘₯ Rose Kiwanga Guest Jan 25, 2016
Hii imenifurahisha sana! 🀣😊
πŸ‘₯ Ibrahim Guest Jan 17, 2016
πŸ˜† Nacheka hadi chini!
πŸ‘₯ Dorothy Majaliwa Guest Dec 28, 2015
Hii imenifurahisha hadi nacheka kwa sauti! πŸ€£πŸ˜…
πŸ‘₯ Benjamin Masanja Guest Dec 21, 2015
Hii ni joke ya maana sana! πŸ˜‚πŸ‘Œ
πŸ‘₯ Josephine Nekesa Guest Dec 13, 2015
πŸ˜… Bado nacheka!
πŸ‘₯ Joseph Mallya Guest Dec 4, 2015
πŸ€£πŸ˜„πŸ˜Š
πŸ‘₯ Fatuma Guest Nov 16, 2015
πŸ˜„ Kichekesho kamili!
πŸ‘₯ Paul Kamau Guest Oct 21, 2015
Hii ni aina ya kichekesho usichosahau! πŸ˜‚
πŸ‘₯ Rashid Guest Oct 13, 2015
πŸ˜‚ Ninahitaji kuihifadhi hii milele!
πŸ‘₯ John Kamande Guest Sep 20, 2015
Hii ni joke ya kipekee! πŸ€£πŸ‘Œ
πŸ‘₯ Charles Wafula Guest Sep 10, 2015
Kweli mna kipaji cha ucheshi! πŸ‘πŸ˜†
πŸ‘₯ Robert Okello Guest Sep 2, 2015
πŸ˜‚ Kali sana!
πŸ‘₯ Dorothy Majaliwa Guest Jun 3, 2015
Kweli mna ucheshi wa kipekee! πŸ˜‚πŸ€£
πŸ‘₯ Ann Awino Guest Jun 1, 2015
Napenda vile mnaweka jokes kila siku! πŸ˜†πŸ‘
πŸ‘₯ Lucy Wangui Guest May 20, 2015
Hii joke ni ya kufurahisha! 🀣🀣
πŸ‘₯ Rukia Guest May 11, 2015
Asante Ackyshine
πŸ‘₯ Jacob Kiplangat Guest May 10, 2015
Bado nacheka, hiyo ilikuwa nzuri sana! 🀣
πŸ‘₯ Agnes Lowassa Guest Apr 1, 2015
Nimependa hii! Endelea kuzileta! 😁

πŸ”— Related Posts

🏠 Home πŸ“– Reading πŸ–ΌοΈ Gallery πŸ’¬ AI Chat πŸ“˜ About