Mchungaji Kauliza: Yeyote mwenye pingamizi la haki kwa ndoa hii asimame na aje mbele.Mara kasimama kibabu na kwenda mbele, bibi harusi alipomuona tu yule babu akazimia.Mchungaji akauliza: tueleze pingamizi lakoKibabu kikajibu: Nimeamua kuja mbele kwasababu kule nyuma sisikii!!!.kanisa zima hoi,
๐ฌ
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
236 comment(s)
๐ Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Mwanamke mmoja aliingia duka la vito vya thamani, akaona pete moja ya dhahabu nzuri sana amabayo ilikuwa kwenye shelf ya chini, wakati anainama apate โฆ
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate