Sidebar with Floating Button
AckySHINE ๐Ÿ”
โ˜ฐ

Kilichotokea baada ya kuzamia sherehe

โ€ข
Author/Editor: Melkisedeck Leon Shine, 2015-2017: AckySHINE.com
Featured Image

Pale unapozamia kwenye Dinner Party ya Jumuiya Fulani, sasa Lengo la Jumuiya hiyo ni kupata Fedha za kutunisha Mfuko wa Jumuiyaโ€ฆsasa unakakaa mbele kabisa ili Muda wa Msosi usichelewe na kukuta kwenye Buffee yamebaki maharage!

MC : "Papai zuri kabisa kutoka Newala, Papai Mwendokasi, hili ni Shilingi laki 1..jamani Papai,nipeni ofa!"

MOSHA : "Laki 3 hapaaa!"

"Jamani laki 3 pale kwa Mosha, Papai linaondoka jamani, papai hili ni self contained kabisaโ€ฆ.papai jamani"

KIBOLIBO: "Milioni 1 hapaaa"

"Jamani Mambo yanazidi kunoga hapa!โ€ฆBenedict Kibolibo anataka papai kwa milioni 1 jamani, linaondoka papai!"

RWEYEMAMU : "nitanunua Papai hilo kwa Milioni 5"

Haya sasa jamani Rweyemamu ametoa ofa ya Milioni 5 Jamani, nani mweingineee?"

Kimyaaaโ€ฆ

Haya jamani Papai kama hakuna Ofa basi Papai linakwenda kwa Rweyemamu!โ€ฆโ€ฆ..haya sasa Kuna Kuku hapa Jogoo kabisa, bei yake ni laki 6 jamani Jogoo twitter huyu!"

WEWE "Milioni Mojaaa!"( hapa umejiwahi wa kwanza na wewe uonekane upo huku ukijua kabisa Wakina Mosha na Rweyemamu lazima watampandia Dau Jogoo, tena dau kubwa"

MC: ee sasa Kumekucha Jamani, Kabasele anamtaka Jogoo kwa Milioni 1 jamani!โ€ฆ.ofa nyingineeee!"

Kimyaaaโ€ฆ

Jamani Jogoo anakwenda kwa Kabasele jamani!โ€ฆofa nyinginee!

Kimyaaaโ€ฆ.

Kimyaaaโ€ฆ.

๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜โ€ฆhapa sasa ndio mfukoni kuna Buku jero,..huko kwengineko NMB nill balanceโ€ฆsasa unageuza mimacho kumtazama Mosha kama atapanda dau kwa jogoo๐Ÿ‘€(mama wee Mosha anachezea Simu!)โ€ฆ..unamtazama Rweyemamu (teh anatafuna Kuku)โ€ฆ..mama weee๐Ÿ˜

MC: Haya jamani kama hakuna Mwingine basi zoezi letu liishie hapa na limekwenda kwa Mafanikio, Mpatieni Kabasele Jogoo wake!

Hapa sasa unapokea jogoo wako wa MILIONI kwa Tabasamu la Maitiโ€ฆ.kule nyumbani Jogoo wako Mkubwa unauza elfu 20 lakini sasa haka kajogoo kapya Mkononi kanakuwa kazito utadhani umembeba John Cena๐Ÿ‘€โ€ฆMama weee hapa sasa vidari ulivyotafuna unaviona kama vimerudi kwenye Ulimiโ€ฆ.Chicken wings zinataka kutokea Masikioniโ€ฆ..Uuuuwiiiii,๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Na hapa sasa kabla Dinner haijaisha ndipo unapojikuta Umebuni Cocktail ya Sparetta na Tomato๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜‚.
chiel wie okee

AckySHINE Solutions
โœจ Join AckySHINE for more features! โœจ

Comments 236

Please log in or register to comment or reply.
๐Ÿ‘ฅ Alex Nakitare Guest Jan 3, 2017
Hii imeniboresha wakati wangu wa mapumziko! โ˜•๐Ÿ˜†
๐Ÿ‘ฅ Mary Sokoine Guest Dec 5, 2016
Nimecheka hadi nimemiss kicheko! ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜‚
๐Ÿ‘ฅ Henry Mollel Guest Nov 29, 2016
Hizi jokes zinanifanya nicheke kila siku! ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜†
๐Ÿ‘ฅ Mwachumu Guest Nov 14, 2016
๐Ÿ˜„ Kichekesho gani!
๐Ÿ‘ฅ Irene Makena Guest Nov 11, 2016
๐Ÿ˜„ Kali sana!
๐Ÿ‘ฅ David Sokoine Guest Oct 15, 2016
Hii ni ya maana sana! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘Œ
๐Ÿ‘ฅ Frank Sokoine Guest Oct 13, 2016
Hii imenifurahisha hadi nacheka kwa sauti! ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚
๐Ÿ‘ฅ Moses Kipkemboi Guest Sep 17, 2016
๐Ÿคฃ Hii imenifanya siku yangu iwe bora kabisa!
๐Ÿ‘ฅ Francis Mrope Guest Aug 29, 2016
๐Ÿคฃ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜‚
๐Ÿ‘ฅ Abdillah Guest Aug 21, 2016
๐Ÿ˜† Bado nacheka!
๐Ÿ‘ฅ Nassar Guest Aug 10, 2016
๐Ÿคฃ Sikutarajia hiyo!
๐Ÿ‘ฅ Ann Wambui Guest Jul 18, 2016
Nimecheka hadi nina furaha sana! ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜‚
๐Ÿ‘ฅ Peter Mbise Guest Jul 13, 2016
๐Ÿคฃ Hiyo punchline ilikuwa haikutarajiwa!
๐Ÿ‘ฅ Joy Wacera Guest Jul 9, 2016
Nimefurahia sana hii joke! ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜‚
๐Ÿ‘ฅ Irene Makena Guest Jul 7, 2016
Ninashiriki hii na marafiki zangu mara moja! ๐Ÿ˜†
๐Ÿ‘ฅ Thomas Mtaki Guest Jul 7, 2016
Huyu mtu ni mcheshi sana! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
๐Ÿ‘ฅ Benjamin Kibicho Guest Jun 29, 2016
Nimefurahia hii sana! ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜Š
๐Ÿ‘ฅ Mariam Hassan Guest May 23, 2016
Hii ni joke ya kipekee sana! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘
๐Ÿ‘ฅ Amani Guest May 13, 2016
Siwezi kuamini jinsi hii ni kichekesho! ๐Ÿ˜‚
๐Ÿ‘ฅ Dorothy Nkya Guest May 4, 2016
๐Ÿคฃ Ujuzi wa hali ya juu!
๐Ÿ‘ฅ Isaac Kiptoo Guest Apr 25, 2016
๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘Œ
๐Ÿ‘ฅ Peter Otieno Guest Apr 14, 2016
Hii imenikumbusha enzi zile! ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜‚
๐Ÿ‘ฅ Charles Mchome Guest Mar 31, 2016
Hizi jokes ni za ukweli! ๐Ÿ˜†๐Ÿ‘
๐Ÿ‘ฅ Baraka Guest Mar 23, 2016
๐Ÿ˜ƒ Hali imeboreshwa papo hapo!
๐Ÿ‘ฅ Peter Tibaijuka Guest Mar 16, 2016
Hizi jokes zinabamba sana! ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜‚
๐Ÿ‘ฅ Anna Kibwana Guest Mar 14, 2016
๐Ÿ˜† Ninacheka sana sasa hivi!
๐Ÿ‘ฅ Anthony Kariuki Guest Jan 19, 2016
๐Ÿคฃ Ninashiriki hii sasa hivi!
๐Ÿ‘ฅ Mariam Hassan Guest Jan 18, 2016
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜†
๐Ÿ‘ฅ Majid Guest Jan 2, 2016
Hii ni aina ya kichekesho usichosahau! ๐Ÿ˜‚
๐Ÿ‘ฅ Monica Nyalandu Guest Jan 2, 2016
Hii imenipa kicheko cha siku! ๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
๐Ÿ‘ฅ Rose Lowassa Guest Dec 26, 2015
Hii ni ya kufurahisha sana! ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜„
๐Ÿ‘ฅ Francis Mrope Guest Dec 19, 2015
๐Ÿ˜† Nacheka hadi chini sasa hivi!
๐Ÿ‘ฅ Ahmed Guest Nov 18, 2015
Bado nacheka, hiyo ilikuwa nzuri sana! ๐Ÿคฃ
๐Ÿ‘ฅ Umi Guest Nov 12, 2015
๐Ÿ˜‚ Siwezi kusubiri kushiriki hii!
๐Ÿ‘ฅ Shamsa Guest Nov 7, 2015
Haha! Sijacheka hivi kwa muda mrefu! ๐Ÿคฃ
๐Ÿ‘ฅ Kenneth Murithi Guest Oct 7, 2015
Hii ni joke ya kipekee sana! ๐Ÿ˜Š๐Ÿ‘
๐Ÿ‘ฅ Isaac Kiptoo Guest Sep 20, 2015
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘
๐Ÿ‘ฅ Jacob Kiplangat Guest Sep 19, 2015
๐Ÿ˜‚ Nimeipenda kabisa hii!
๐Ÿ‘ฅ Amir Guest Sep 15, 2015
๐Ÿ˜„ Umenishika vizuri!
๐Ÿ‘ฅ Kenneth Murithi Guest Sep 15, 2015
Hii imenipa kicheko cha siku! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜†
๐Ÿ‘ฅ Edward Lowassa Guest Sep 14, 2015
Ucheshi wenu unanifurahisha kila siku! ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜‚
๐Ÿ‘ฅ Janet Sumari Guest Aug 24, 2015
๐Ÿ‘๐Ÿคฃ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜‚
๐Ÿ‘ฅ Bakari Guest Aug 20, 2015
๐Ÿ˜‚ Hii ni kali sana!
๐Ÿ‘ฅ Zubeida Guest Aug 13, 2015
๐Ÿ˜† Siwezi kuacha kucheka!
๐Ÿ‘ฅ Elijah Mutua Guest Aug 12, 2015
Hii ni joke ya kufurahisha sana! ๐Ÿ‘๐Ÿ˜†
๐Ÿ‘ฅ Robert Okello Guest Jul 16, 2015
Nimecheka hadi nimesahau shida zangu! ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜†
๐Ÿ‘ฅ Sarah Karani Guest Jul 13, 2015
Hii imenikuna sana! ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜…
๐Ÿ‘ฅ Janet Sumari Guest Jul 11, 2015
Haha, hii ni kicheko bora zaidi nilichopata wiki hii! ๐Ÿ˜
๐Ÿ‘ฅ Janet Mbithe Guest Jul 7, 2015
๐Ÿคฃ Nalia kwa kicheko kweli!
๐Ÿ‘ฅ Alice Mrema Guest Jun 26, 2015
Nimecheka hadi nimesahau shida! ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜†
๐Ÿ‘ฅ Maneno Guest Jun 7, 2015
๐Ÿ˜… Bado nacheka!
๐Ÿ‘ฅ Ruth Wanjiku Guest May 30, 2015
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜„
๐Ÿ‘ฅ Andrew Odhiambo Guest May 21, 2015
Hii kichekesho inastahili tuzo! ๐Ÿ†
๐Ÿ‘ฅ Kassim Guest May 11, 2015
๐Ÿ˜ Hakika hii ni kichekesho changu kipya!
๐Ÿ‘ฅ Shamim Guest Apr 11, 2015
Kama kawaida! Bado nacheka! ๐Ÿ˜„
๐Ÿ‘ฅ Joyce Nkya Guest Apr 8, 2015
Hii kichekesho ni ya kuhifadhi bila shaka! ๐Ÿ˜

๐Ÿ”— Related Posts

๐Ÿ  Home ๐Ÿ“– Reading ๐Ÿ–ผ๏ธ Gallery ๐Ÿ’ฌ AI Chat ๐Ÿ“˜ About