Sidebar with Floating Button
AckySHINE πŸ”
☰

MAJIBU YA MAKONDA WA DALADALA ZETU GONGOLAMBOTO HUKU

β€’
Author/Editor: Melkisedeck Leon Shine, 2015-2017: AckySHINE.com
Featured Image
1. wewe Dada unaturingia nini na matiti yako mawili , mbwa pia ana matiti nane na haturingii eboo !!!! 2. Ka wafikiri Una haraka sana Shuka ukimbie. 3. Nauli kulipa lazima ,Chenji ukikumbuka. 4. Kutapika ndani ndani ya Daladala fain 250/= ,ukijamba pia 250/= ,Sasa jamba tukujue viti vina alarm!… 5.Hatujasema wewe ni Mnene ila Ukikalia SITI mbili Lipia…. 6. Hio Elfu kumi yako nenda nunua avocado upake alafu uteleze hadi posta ,nauli ya daladala ni 350/=. 7. usifungue dirisha ungetaka upepo ungepanda pikipiki.. 8. wewe Dada hebu sogea hukoo, Unaringa nini wakati asubuhi hii umeoga na sabuni ya kuoshea vyombo…
AckySHINE Solutions
✨ Join AckySHINE for more features! ✨

Comments 236

Please log in or register to comment or reply.
πŸ‘₯ Samuel Omondi Guest Nov 12, 2021
πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜†
πŸ‘₯ Nancy Komba Guest Oct 21, 2021
Kweli mnajua kuchekesha! πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ‘₯ Joyce Nkya Guest Oct 4, 2021
Hizi jokes ni za kipekee sana! πŸ˜†πŸ˜Š
πŸ‘₯ Fredrick Mutiso Guest Oct 2, 2021
Hii imenikumbusha kicheko cha zamani! πŸ˜‚πŸ˜…
πŸ‘₯ Mhina Guest Oct 1, 2021
🀣 Hii imewaka moto!
πŸ‘₯ Neema Guest Sep 23, 2021
🀣 Ninaituma sasa hivi!
πŸ‘₯ Alice Mrema Guest Sep 8, 2021
πŸ˜…πŸ˜ŠπŸ˜‚πŸ‘
πŸ‘₯ Grace Minja Guest Aug 24, 2021
Hii ni dhahabu ya vichekesho! πŸ˜„
πŸ‘₯ Lydia Wanyama Guest Aug 18, 2021
😁 Kicheko bora ya siku!
πŸ‘₯ Charles Mchome Guest Jul 24, 2021
Hii imenibamba sana! πŸ˜‚πŸ˜…
πŸ‘₯ Rose Mwinuka Guest Jun 24, 2021
Nimecheka hadi machozi yanatoka! 🀣😭
πŸ‘₯ Jackson Makori Guest Jun 20, 2021
Nimecheka hadi nina furaha sana! πŸ˜†πŸ˜‚
πŸ‘₯ Rose Waithera Guest Jun 6, 2021
Ucheshi wenu ni wa hali ya juu! πŸ‘πŸ€£
πŸ‘₯ Elizabeth Mtei Guest May 15, 2021
🀣 Nalia kwa kicheko kweli!
πŸ‘₯ Patrick Kidata Guest May 7, 2021
😁 Hakika hii ni kichekesho changu kipya!
πŸ‘₯ Elizabeth Mrema Guest Apr 12, 2021
Nimecheka hadi nina furaha sana! 🀣😊
πŸ‘₯ Benjamin Masanja Guest Mar 21, 2021
Ucheshi wenu unanifurahisha kila siku! πŸ˜†πŸ˜‚
πŸ‘₯ George Mallya Guest Feb 14, 2021
🀣 Ujuzi wa hali ya juu!
πŸ‘₯ Jacob Kiplangat Guest Feb 7, 2021
Nimecheka hadi nimesahau shida! πŸ€£πŸ˜†
πŸ‘₯ Issa Guest Dec 13, 2020
πŸ˜„ Kichekesho kamili!
πŸ‘₯ Grace Majaliwa Guest Dec 7, 2020
Hii ni kali! Itaingia kwenye vipendwa vyangu! πŸ˜„
πŸ‘₯ Frank Macha Guest Dec 3, 2020
πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜…
πŸ‘₯ Sharon Kibiru Guest Nov 21, 2020
πŸ˜„ Sikutarajia hiyo ikitokea!
πŸ‘₯ Josephine Nekesa Guest Nov 21, 2020
πŸ‘πŸ€£πŸ˜†πŸ˜‚
πŸ‘₯ Rose Mwinuka Guest Nov 9, 2020
πŸ˜„ Siwezi hata kupumua, ni kichekesho sana!
πŸ‘₯ Sultan Guest Nov 6, 2020
πŸ˜‚ Nitaiiba hii bila shaka!
πŸ‘₯ Charles Wafula Guest Oct 2, 2020
Nimecheka hadi nimesahau shida zangu! πŸ˜…πŸ˜Š
πŸ‘₯ Samson Mahiga Guest Sep 30, 2020
πŸ˜† Hii imenigonga kweli!
πŸ‘₯ Emily Chepngeno Guest Sep 19, 2020
Kweli mna ucheshi wa hali ya juu! πŸ˜‚πŸ€£
πŸ‘₯ Miriam Mchome Guest Sep 14, 2020
πŸ˜† Bado nacheka, siwezi kuacha!
πŸ‘₯ Charles Mboje Guest Sep 10, 2020
Nimecheka hadi nimemiss kicheko! πŸ˜ŠπŸ˜‚
πŸ‘₯ Francis Njeru Guest Aug 6, 2020
πŸ˜‚ Siwezi kuacha kucheka!
πŸ‘₯ Sarah Karani Guest Jul 25, 2020
πŸ˜…πŸ˜‚πŸ‘ŒπŸ˜Š
πŸ‘₯ Andrew Odhiambo Guest Jul 21, 2020
😁 Imeongezwa kwenye vipendwa!
πŸ‘₯ Carol Nyakio Guest Jun 23, 2020
πŸ˜†πŸ˜…πŸ˜‚
πŸ‘₯ Salima Guest Jun 19, 2020
Hii ni aina ya kichekesho usichosahau! πŸ˜‚
πŸ‘₯ Moses Kipkemboi Guest Jun 15, 2020
πŸ˜„ Umenishika vizuri!
πŸ‘₯ Ruth Kibona Guest Jun 11, 2020
Bado nacheka, hiyo ilikuwa nzuri sana! 🀣
πŸ‘₯ Christopher Oloo Guest May 24, 2020
Ucheshi wenu unanifurahisha kila siku! πŸ˜ŠπŸ˜‚
πŸ‘₯ Esther Cheruiyot Guest May 23, 2020
Ucheshi wenu unanifurahisha! πŸ˜ŠπŸ˜‚
πŸ‘₯ Esther Nyambura Guest May 2, 2020
Ninashiriki hii na marafiki zangu mara moja! πŸ˜†
πŸ‘₯ Shani Guest May 1, 2020
πŸ˜„ Umeshinda mtandao leo!
πŸ‘₯ Grace Wairimu Guest Apr 15, 2020
Ucheshi wa hali ya juu! πŸ˜‚πŸ‘
πŸ‘₯ Grace Njuguna Guest Apr 3, 2020
Hii ni joke ya kipekee! πŸ€£πŸ‘Œ
πŸ‘₯ Elizabeth Malima Guest Mar 29, 2020
πŸ˜† Ninacheka sana sasa hivi!
πŸ‘₯ Nancy Kabura Guest Mar 23, 2020
πŸ˜‚πŸ˜†
πŸ‘₯ Jane Muthui Guest Mar 21, 2020
😁 Hii ni hazina ya kichekesho!
πŸ‘₯ Robert Ndunguru Guest Mar 13, 2020
Hii ni joke ya maana sana! πŸ˜‚πŸ‘Œ
πŸ‘₯ Nassor Guest Feb 17, 2020
πŸ˜„ Umenishika vizuri!
πŸ‘₯ Esther Nyambura Guest Dec 25, 2019
πŸ˜‚ Siwezi kuacha kucheka na hii!
πŸ‘₯ Christopher Oloo Guest Dec 11, 2019
Hii imenifurahisha hadi nacheka kwa sauti! πŸ€£πŸ˜‚
πŸ‘₯ James Mduma Guest Dec 9, 2019
Nimecheka kwa sauti! 🀣🀣
πŸ‘₯ Janet Sumaye Guest Nov 28, 2019
Hii ni joke ya kufurahisha sana! πŸ‘πŸ˜†
πŸ‘₯ Susan Wangari Guest Nov 25, 2019
😁 Hii imenifanya siku yangu iwe bora!
πŸ‘₯ Miriam Mchome Guest Oct 27, 2019
Nimecheka hadi machozi 🀣😭
πŸ‘₯ Salima Guest Sep 27, 2019
πŸ˜† Hiyo punchline ilikuwa kali!
πŸ‘₯ Kahina Guest Sep 22, 2019
πŸ˜ƒ Hali imeboreshwa papo hapo!
πŸ‘₯ Simon Kiprono Guest Sep 2, 2019
Napenda vile mnaweka jokes kila siku! πŸ˜†πŸ‘
πŸ‘₯ Edwin Ndambuki Guest Aug 21, 2019
πŸ€£πŸ˜­πŸ˜†
πŸ‘₯ Grace Mligo Guest Aug 13, 2019
Hii imenikuna sana! πŸ˜†πŸ˜…

πŸ”— Related Posts

🏠 Home πŸ“– Reading πŸ–ΌοΈ Gallery πŸ’¬ AI Chat πŸ“˜ About