πCheki huyu mwanamke anavyomkomoa mme wake baada ya kumsaliti
MKE: Mbona unanukia pafyumu ya kike?MUME: Yaa kuna mwanamke tulikuwa tumeminyana ndani ya daladalaMKE: Na lipstiki kwenye shati?MUME: Tulikumbatiana na wageni toka Zambia walitembelea ofisi yetuMKE: Na ile kondom iliyotumika kwenye mfuko wa suruali?MUME: Bwana ee acha maswali ya kijinga mi nalala niβ¦
Open printable article βπMbele ya hela binti usharobaro achia mbali
Boy:- hallowDem:- hellowBoy:- ivi jina lako nani vileDem:- am miss precious A. K. A dope girlBoy:-Okay, nmekutumia 50,000 nimeona Jina tofauti ngoja nipige customer careDem:-no no baby usipige Ah ah Hapana baby mi naitwa Andongolile Mwakasakafyuka πππππ
Open printable article βπTofauti kati ya Binti wa Kizungu na Binti wa Kibongo mwanamme anapotoka kuoga
Tofauti ya Binti wa Kizungu na Binti wa Kibongo pale ambapo Mwanaume wake atokapo kuoga.Binti wa Kizungu: Baby you look nice and fresh. Binti wa Kibongo: Naona safari imeiva, Mwanaume hupumziki kama nesi wa zamu ππππ
Open printable article βπStaili nyingine za michepuko ni shida
Mtu na mkewe walikuwa bado wamelala asubuhi, mtu akapiga hodi mke akaenda kufungua mlango, si akakuta mchepuko wake,MKE: Unataka nini we mpumbavu?MUME: Nani huyo unamtukana?MKE: Kuna mtu hapa anakichwa kama nenda urudi badaeMCHEPUKO:Nawewe pua kama poaMKE:Miguu kama masaa mawiliMCHEPUKO:Masikio kamaβ¦
Open printable article βπAngalia nilivyomkomoa huyu dogo
Kuna mtoto wa jirani ananibore sana kila nkimtuma kitu dukani lazima aonje, Jana nlimtuma sukari akala yote.. Sahii nmemtuma superglue haongei Sipendi ujinga mimi π‘π‘π‘π‘π‘π‘
Open printable article βπTenda Wema Uende Zako
Nimekuta panya ana struggle kuingia chini ya mlango wa jirani yanguβ¦Nikagonga mlango Jirani kafungua panya akapenya mi nkaenda zanguβ¦..Tenda Wema Uende Zako!!! Sipendi Ujinga mimi kwanini panya wa watu apate shida
Open printable article βπPale umapofanya interview huku ukijua hutapata kazi
Pale unaitwa kufanya interview na unajua tuu hutapata kazi tuuβ¦..Interviewer: where were u born?Guy: Tanzania Interviewer: okay which part?Guy: what do u mean which part, the whole body was born in Tanzania..πππ Cpendagi ujinga mim
Open printable article βπMisemo 17 ya kuchekesha
1) gari la kuvutwa halina overtake2) kisigino hakikakai mbele3) wimbo wa taifa haupgwi disko4) feni haiwashwi beach5) mshkaki hauchomwi kwa jiko la ges6) mganga haagiz tembele7) hata bibi alikuwa bint8) mke wa mtu sumu,mume wamtu maziwa9) kipara bila pesa ni kovu10) mbwa hanenepi migiuu11) picha ya β¦
Open printable article βπLugha za namba ni noma
Leo kuna mdogo wangu nimemtumia meseji nimemuomba aniazime chaja yake ya simu. Akanijibu 21002 Nikawa mkali nikamuambia kuchajia mara moja tu ndio HELA yote hio si bora nikanunue Chaja yangu mpya. Akaniambia nimesema TUMIA TU ππmtatuua na lugha zenuπ
Open printable article βπHuyu mgeni wa huyu jamaa ni shida
Pale unapokuwa umefulia sanaβ¦Mgeni anakutembelea Maskani kwakoβ¦.Unaamua Kuchukua Ile Sh 600 iliyobaki na kwenda Dukani Kumnunulia Soda Unaondoka na Chupa Mbili Unanunua Fanta Moja kwaajil ya Mgeni na Ile Chupa ya Sprite Unaijaza Maji ili Ukirudi Uweze kumpa Kampani Mgeniβ¦β¦Unafika Seblen Unampa Ile sβ¦
Open printable article βπDuh, hii sasa kazi
Wakati unafikiria dingi yako afe ili urithi nyumba, dingi nae anafikiria uanze kufa ili apangishe chumba unacholala.. hiyo inaitwa kufa kufaana.. πππππππππ #Hatutaki ujinga
Open printable article βπCheki tabia za kuandika vimaneno vya ajabuajabu kwenye pikipiki na bodaboda ilivyomponza huyu
Jamaa mmoja dereva wa bajaji alianguka, sasa bajaji ikawa imem'bana akawa anafurukuta bila mafanikio Cha ajabu watu wakawa wanampita bila kumsaidia, Kumbe Nyuma ya Bajaji yake alikua Kaandika "NIACHENI KAMA NILIVYO, HII NDIO STYLE YANGU" πππ Mpaka sasa nimemwacha bado yuko hapo *Sipendagi Ujinga mimβ¦
Open printable article βπAngalia jamaa alivyouweza huu mchepuko wake
Kuna mchepuko nilimtumia nauli jana ili aje,.kwang sasa leo kaniambia eti " nimesahau ile line yenye M-pesa home plz nitumie tena kwa tigo mpenz""!! Me nikajifanya chizi nikatuma Kule kule kwenye voda (aliosema kaacha home) Nikatuma huko message ivi "nikuongezee Sh. Ngapi tena mpenz..!!" Akanjbu "elβ¦
Open printable article βπMwizi kawezwa ki kwelii
Et jana usiku mwiz kavunja mlango kwangu akaanza kutafuta kitu kila kona ikabid na mie niamke namuuliza unatafuta nini ananijibu hela ndipo nilipoanza na mie kutafuta nae maana hta hela ya kula Jana sikua nayo alichoka zaid nilipomuliza una uhakika uliweka humu? sipendagi ujingaπΆπ» na kitu hela mm!
Open printable article βπCheki hawa wachungaji
CHEKA KIDOGOWachungaji watatu walikutana kwa siri na kuelezana matatizo yao ili waweze kuombeana.MCHUNGAJI WA KWANZA: mimi tatizo langu ni wizi, kila nikimaliza ibada lazima niibe pesa za sadaka.WA PILI: Mimi tatizo langu ni wanawake yani nimeshalala na wana kwaya wote pamoja na mke wa ASKOF.WA TATUβ¦
Open printable article β