Kuna mchepuko nilimtumia nauli jana ili aje,.kwang sasa leo kaniambia eti " nimesahau ile line yenye M-pesa home plz nitumie tena kwa tigo mpenz""!! Me nikajifanya chizi nikatuma Kule kule kwenye voda (aliosema kaacha home) Nikatuma huko message ivi "nikuongezee Sh. Ngapi tena mpenz..!!" Akanjbu "elfu 20,000 tu mpenzi" Mtuhurumie jamani ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚