ACKYSHINE ARTICLE

Mwizi kawezwa ki kwelii

✍️ SW - Melkisedeck ShineπŸ“… March 17, 2022πŸ’¬ 236 comments

Et jana usiku mwiz kavunja mlango kwangu akaanza kutafuta kitu kila kona ikabid na mie niamke namuuliza unatafuta nini ananijibu hela ndipo nilipoanza na mie kutafuta nae maana hta hela ya kula Jana sikua nayo alichoka zaid nilipomuliza una uhakika uliweka humu? sipendagi ujinga🚢🏻 na kitu hela mm!