Tofauti ya Binti wa Kizungu na Binti wa Kibongo pale ambapo Mwanaume wake atokapo kuoga.

Binti wa Kizungu:ย Baby you look nice and fresh.ย 

Binti wa Kibongo:ย Naona safari imeiva, Mwanaume hupumziki kama nesi wa zamuย 

๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†