PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

Upishi na Maandalizi ya Milo yenye Afya Β· 266

πŸ“„

Jinsi ya kupika Pilau ya Nyama ya Kusaga Na Mboga Mchanganyiko

MahitajiMchele - 2 MugsViazi - 3Nyama ya Kusaga - 1 PoundMboga mchanganyiko za barafu - 1 Mug(Frozen vegetable)Kitunguu saumu(thomu/galic) na tangawizi - 2 vijiko vya supuGaram masala - 1 kijiko cha supuNyanya - 1Kitungu maji - 1Mdalasini nzima - 1 vijitiKarafuu - 3 chembePilipili mbichi - 1Chumvi -…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Wali Wa Tambi Na Kuku Wa Sosi Ya Mtindi

Vipimo Vya WaliMchele - 3 vikombeTambi - 2 vikombeMafuta - ΒΌ kikombeChumviVipimo Vya KukuKuku kidari (boneless) aliyekatwa katwa vipande - 1 KiloKitunguu maji kilichokatwa katwa - 2Kitunguu saumu(thomu/galic) na tangawizi iliyosagwa - 1 kijiko cha supuPilipili mbichi iliyosagwa - 1 kijiko cha chaiCh…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Biriani Ya Kuku Wa Kuchoma (Grilled)

MahitajiMchele wa Basmati /Pishori - 4 vikombeKukuVitunguu - 3Nyanya/Tungule - 2Tangawizi mbichi ilosagwa - 2 vijiko vya supuKitunguu saumu(thomu/galic) kilosagwa - 1 kijiko cha supuPilipili mbichi nzima - 3Ndimu - 2Garama Masala/bizari mchanganyiko - 1 kijiko cha supuHaldi/tumeric/bizari manjano - …

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kuandaa Wali Wa Hudhurungi Na Kabeji

VIPIMO VYA WALIMchele wa hudhurungi (brown rice)na (wild rice kidogo ukipenda)Osha na Roweka - 2 VikombeKitungu maji - 1 KiasiKitunguu saumu - 1 Kijiko cha supuBizari ya manjano - 1/2 Kijiko cha chaiMdalasini nzima - 1 kijitiIliki iliyosagwa - 1/4 Kijiko cha chaiChumvi - KiasiPilipili manga - 1/4 Ki…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kupika Biriyani Ya Nyama Ng'ombe

Viambaupishi Vya MasalaNyama vipande - 3 LBMtindi - Β½ kopoKitunguu (thomu/galic) - 1Β½ kijiko cha supuTangawizi - 1Β½ kijiko cha supuNyanya - 2Pilipili mbichi - kiasiNyanya kopo - 4 vijiko vya supuVidonge supu - 2Pilipili nyekundu paprika - kiasiBizari zote saga - 2 vijiko vya supuViazi - 4Mafuta - 2 …

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Wali Wa Kichina Wa Kamba Na Kuku

MAHITAJIMchele wa pishori (basmati) - 4Nyama ya kuku bila mafupa - 1 LbKamba saizi kubwa - 1LbMchanganyiko wa mboga - njegere, karoti,mahindi, maharage ya kijani (spring beans) - 2 vikombeFigili mwitu (Cellery) - 2 mcheVitunguu vya majani (spring onions) - 4-5 micheKebeji - 2 vikombePilipili ya unga…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Pilau Ya Bilingani Na Kuku

ViambaupishiMchele wa basmati - 3 vikombeKuku - Β½Bilingani - 2 ya kiasiViazi - 4Vitunguu - 2Kitunguu (thomu/galic) iliyosagwa - 2 vijiko vya supuPilipili mbichi iliyosagwa - 2Chumvi - kiasiGarama masala (mchanganyiko wa bizari) - 1 kijiko cha chaiHiliki ya unga - ΒΌ kijiko cha chaiMafuta ya kupikia w…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Wali Wa Zaafarani Na Kuku Wa Kupaka

VipimoWali:Mchele - 3 VikombeKitunguu kiichokatwa - 1Pilipili boga nyekundu iliyokatwa vipande - 1Mafuta - ΒΌ KikombeZaafarani - 1 kijiko cha chai tia kwenye kikombe na maji robo rowekaChumvi - 1 kiasiNamna Ya Kutayarisha Na KupikaKatika sufuria, tia mafuta, kaanga kitunguu mpaka kiwe kidogo rangu ya…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kupika Wali Wa Kichina wa mboga mboga Na Mayai

ViambaupishiMchele (Basmati) - 3 vikombeMbogamboga za barafu (karot, njegere, spring beans na mahindi) - 1 kikombeKuku Kidari - 1 LB (ratili)Mayai - 2 mayaiVitunguu (vikubwa) - 2 au 3 vidogoPili pili manga - 1 kijiko cha chaiPaprika - 1 kijiko cha chaiChumvi - KiasiMafuta - 1/3 kikombe cha chaiKitun…

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kupika wali wa Tuna (samaki/jodari)

VIAMBAUPISHI VYA TUNATuna (samaki/jodari) - 2 VikopoVitunguu (kata kata) - 4Nyanya zilizosagwa - 5Nyanya kopo - 3 Vijiko vya supuViazi (vilivyokatwa vipande vidogo - cubes) - 4Dengu (chick peas) - 1 kikombeKitunguu saumu(thomu/galic)&Tangawizi iliyosagwa 1 Kijiko cha supuHiliki - 1/4 kijiko cha chai…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Pilau Ya Samaki Wa Tuna Na Mboga

MahitajiMchele - 2 MugsMboga mchanganyiko za barafu (Frozen veg) - MugTuna (samaki/jodari) - 2 kopoKitunguu saumu(thomu/galic) na tangawizi -2 vijiko vya supuGaram masala - 1 kijiko cha supuNyanya - 2Kitungu maji - 1Mdalasini nzima - 2 vijitiKarafuu - 6 chembePilipili mbichi - 1Chumvi - kiasiViazi -…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya Pilau Ya Nafaka Na Nyama Ya Kusaga

VIAMBAUPISHIMchele - 3 vikombeNyama ya kusaga - 1 LBMchanganyiko wa Nafaka upendazo; maharagwe, njegere, mbaazi n.k 1 mugVitunguu maji kata vipande vipande - 3 vya kiasiKitunguu saumu(thomu/galic) na Tangawizi - 2 vijiko vya supuMafuta - Β½ KikombeMchanganyiko wa bizari (Garam Masala) - 2 vijiko vya …

Open printable article β†’
πŸ“„

Jinsi ya kupika vizuri Wali Wa Karoti Na Nyama

MAHITAJI YA WALIMchele - 3 MagiMafuta - 1/4 kikombeKaroti unakata refu refu - 3Vitunguu maji kata vikubwa vikubwa - 1 kikubwaPilipli manga - 1/2 kijicho chaiHiliki - 1/2 kijiko chaiKarafuu ya unga - 1/4 kijiko cha chaiMdalasini wa unga - 1/2 kijiko cha chaiZaafarani (ukipenda) roweka katika maji - 1…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi mazuri ya Wali Wa Kukaanga Kwa Kidari Cha Kuku

Vipimo vya Wali:Mchele - 3 vikombe*Maji ya kupikia - 5 vikombe*Kidonge cha supu - 1Samli - 2 vijiko vya supuChumvi kiasiHiliki - 3 chembeBay leaf - 1Vipimo Vya KukuKidari (chicken breast) - 1KiloKitunguu - 1Tangawizi mbichi - Β½ kipandeKitunguu saumu(thomu/galic) - 7 chembePilipili mbichi - 3Ndimu - …

Open printable article β†’
πŸ“„

Mapishi ya wali mtamu Wa Nazi Kwa Maharage Na Samaki Nguru Wa Kukaanga

VipimoWali:Mchele mpunga - 4 VikombeTui la nazi - 6 vikombeChumvi - kiasiNamna Ya Kutayarisha Na KupikaOsha mchele weka kando.Bandika tui jikoni likichemka tia mchele na chumvi.Funika uchemke, tui likikauka wacha moto mdogomdogo hadi wali uive ukiwa tayari. Ikiwa unatumia mkaa unapalia juu yake.Maha…

Open printable article β†’