πMambo Ya Kuzingatia Kuongeza Utagaji Wa Kuku
Inafahamika kuku kutaga mayai mengi hutokana na aina ya mbegu ya kuku, ila jua kwamba hata aina ya mbegu ya kuku yenye sifa ya kutaga mayai mengi kama haitapewa matunzo mazuri basi sifa yake ya utagaji itapotea.Kwa kawaida Tetea anatumia muda wa masaa 24 - 27 β¦
Open printable article βπMatumizi ya mihogo kama dawa ya kuzuia wadudu kwenye mimea
Muhogo Inazuia Minyoo na vidukari.Hatua za Kutayarisha dawaToa maji ya matunda kwa kuponda mizizi;Pima k i w a n g o kimoja cha maji ya m a t u n d a sawa na maji ya kawaida (1:1).Nyunyiza haraka ukitumia lita nne kwa mita moja za mraba, inasemekana kuwa na atβ¦
Open printable article βπJinsi wigo wa mimea kwenye shamba unavyoweza kukinga mazao yako na wadudu waharibifu
Jinsi wigo wa mimea kwenye shamba unavyoweza kukinga mazao yako na wadudu waharibifuWigo wa mimea ni kinga nzuri ya mazao shambani. Mimea ya wigo inaweza kutumika kama kizuizi cha wadudu kuhama hama.Wigo hutatiza vidukari kuhama na kuingia bustanini. Kwa mfanoβ¦
Open printable article βπAina kuu ya mizinga bora ya nyuki kwa ajili ya kupata asali nyingi
Mizinga ya Kifuniko juu (Top bar) Hii ni aina ya mizinga inayotumika sana na wengi. Gharama yake ni ndogo kiasi kulinganisha na mingine. Ni aina nzuri sana kwa mtu anaeanza ufugaji wa nyuki kwa kuwa ni wa gharama nafuu. Mfugaji wa nyuki anaweza kutengeneza mziβ¦
Open printable article βπFaida ya kupanda maharagwe katikati ya kabichi
Maharagwe yanapandwa kwenye kabichi yanafanya kazi zifuatazo;Kudhibiti wadudu (mtego).Maharage yanaweza kupandwa kati ya mistari ya kabichi yakiwa kama mitego kwani yanasaidia kulinda kabichi dhidi ya buibui wekundu.Kuboresha udongo.Maharagwe yanaongeza nitrojβ¦
Open printable article βπMambo muhimu ya kuzingatia kwenye ufugaji wa nyuki wa asali
Mtaalamu wa nyuki Unapohitaji unahitaji kufuga nyuki ni lazima uwe na uelewa wa mzunguko wa maisha ya nyuki. Unapoanza ni lazima uulize mtaalamu wa nyuki, wafugaji wenzako ambao wana uzoefu wa kutosha, au kujiunga katika kikundi cha ufugaji ili apate ufahamu zβ¦
Open printable article βπMambo 5 ya muhimu kuzingatia kuhusu mahali unapotaka kuweka mizinga ya nyuki
Ukitaka kujua kuwa eneo unalotaka kuweka mizinga ya nyuki ni sahihi unatakiwa kuzingatia yafuatayo:1. Haishauriwi kuweka mzinga shambani au karibu na shamba. Unatakiwa uweke umbali wa mita 150-200 kutoka kwenye mazao au nyumbani. Hii ni Kulingana na hali ya kuβ¦
Open printable article βπMambo makubwa yanayosababisha kulazimika kulima au kutifua udongo
Kutifua udongo ni jambo la muhimu sana ili kuufanya udongo kuwa bora. Umuhimu wa kutifua udongo ni kama ifuatavyo1. Hulainisha udongo ili kuruhusu mizizi ya mimea kupenya kwa urahisi.2. Kutifua kunaboresha uwezekano wa kupenya kwa nitrogen na oxygen kutoka kweβ¦
Open printable article βπMambo 6 muhimu ya kuzingatia kupata udongo bora mzuri shambani
1. Usiuchoshe sana udongo Udongo ni kiungo muhimu sana katika uzalishaji wa mazao. Ni mfumo wa uhai kwa mimea. Kwa hiyo, mkulima ni lazima alenge katika kutunza uhai wa udongo na kuepuka usumbufu kwa uhai wa udongo. Sababu muhimu za kulima/kutifua udongo ni: β’β¦
Open printable article βπJinsi ya kuandaa mbangimwitu kama Dawa ya magonjwa na ya kuulia wadudu shambani
Mbangi mwitu au kwa kisayansi ni African marigold / (Tagetes erecta) Unazuia Bakteria, fungusi na wadudu kama vile Siafu, bungo pamoja na aina nyingine za wadudu.Hatua za Maandalizi ya dawa na kutumiaPonda gramu 100-200 za matawi, mizizi na maua;Weka lita mojaβ¦
Open printable article βπJinsi ya kutengeneza mbolea ya maji ya kunyunyiza kwenye majani
Mbolea ya kunyunyiza ni nzuri kwani inasaidia kuupa mmea virutubisho moja kwa moja kupitia kwenye majani au shina ambapo ndipo chakula kinahitajika.Faida za mbolea ya maji ni pamoja na kuongezeka kwa kiwango cha mavuno, uwezo wa mimea kukabiliana na wadudu pamβ¦
Open printable article βπMbinu za kuzuia magonjwa kwa kuku
Mbinu hizo ni hizi zifuatazo;Namna ya kufanya Ukaguzi wa mara kwa mara wa banda la kuku kuzuia magonjwaUkaguzi wa Kila sikuβ’ Hakikisha unasafisha vyombo vya kulishia na kunyweshea pamoja na viota.β’ Ondoa kinyesi kwa kuku.β’ Waangalie kuku wako kwa makini ili kuβ¦
Open printable article βπNamna ya kufanya Ukaguzi wa mara kwa mara wa banda la kuku kuzuia magonjwa
Ukaguzi wa Kila sikuβ’ Hakikisha unasafisha vyombo vya kulishia na kunyweshea pamoja na viota.β’ Ondoa kinyesi kwa kuku.β’ Waangalie kuku wako kwa makini ili kujua afya na maendeleo yao. Yaani ili kutambua kama kuna mwenye ugonjwaUkaguzi Kwa wikiβ’ Ondoa matandazoβ¦
Open printable article βπNamna ya kulisha kuku ili wasipatwe na magonjwa
Safisha vyombo vya kulishia na kunyweshea kila siku. Osha, sugua vizuri, kisha suuza kuondoa utando unaobeba bakteria. Kuku wanahitaji wapewe chakula cha kutosha na chenye virutubisho vyote. Unaweza kuwaongezea majani, makombo, nafaka, mchanga laini, au magandβ¦
Open printable article βπNamna ya kukabiliana na Magonjwa ya kuku
Hakikisha unamuona mtaalamu wa mifugo mara uonapo dalili zozote za kuumwa kwa mifugo wako. Tenga na wapatie tiba au kuwaua na kuteketeza kabisa kuku wagonjwa kuepuka kuenea kwa magonjwa. Ondoa ndege waliokufa mara moja, uwafukie au kuchoma moto. Usile kuku aliβ¦
Open printable article β