πMapishi ya Wali Wa Zaafarani Na Kuku Wa Kupaka
VipimoWali:Mchele - 3 VikombeKitunguu kiichokatwa - 1Pilipili boga nyekundu iliyokatwa vipande - 1Mafuta - ΒΌ KikombeZaafarani - 1 kijiko cha chai tia kwenye kikombe na maji robo rowekaChumvi - 1 kiasiNamna Ya Kutayarisha Na KupikaKatika sufuria, tia mafuta, kaβ¦
Open printable article βπJinsi ya kupika Wali Wa Kichina wa mboga mboga Na Mayai
ViambaupishiMchele (Basmati) - 3 vikombeMbogamboga za barafu (karot, njegere, spring beans na mahindi) - 1 kikombeKuku Kidari - 1 LB (ratili)Mayai - 2 mayaiVitunguu (vikubwa) - 2 au 3 vidogoPili pili manga - 1 kijiko cha chaiPaprika - 1 kijiko cha chaiChumvi -β¦
Open printable article βπJinsi ya kupika wali wa Tuna (samaki/jodari)
VIAMBAUPISHI VYA TUNATuna (samaki/jodari) - 2 VikopoVitunguu (kata kata) - 4Nyanya zilizosagwa - 5Nyanya kopo - 3 Vijiko vya supuViazi (vilivyokatwa vipande vidogo - cubes) - 4Dengu (chick peas) - 1 kikombeKitunguu saumu(thomu/galic)&Tangawizi iliyosagwa 1 Kijβ¦
Open printable article βπMapishi ya Pilau Ya Samaki Wa Tuna Na Mboga
MahitajiMchele - 2 MugsMboga mchanganyiko za barafu (Frozen veg) - MugTuna (samaki/jodari) - 2 kopoKitunguu saumu(thomu/galic) na tangawizi -2 vijiko vya supuGaram masala - 1 kijiko cha supuNyanya - 2Kitungu maji - 1Mdalasini nzima - 2 vijitiKarafuu - 6 chembeβ¦
Open printable article βπMapishi ya Pilau Ya Nafaka Na Nyama Ya Kusaga
VIAMBAUPISHIMchele - 3 vikombeNyama ya kusaga - 1 LBMchanganyiko wa Nafaka upendazo; maharagwe, njegere, mbaazi n.k 1 mugVitunguu maji kata vipande vipande - 3 vya kiasiKitunguu saumu(thomu/galic) na Tangawizi - 2 vijiko vya supuMafuta - Β½ KikombeMchanganyiko β¦
Open printable article βπJinsi ya kupika vizuri Wali Wa Karoti Na Nyama
MAHITAJI YA WALIMchele - 3 MagiMafuta - 1/4 kikombeKaroti unakata refu refu - 3Vitunguu maji kata vikubwa vikubwa - 1 kikubwaPilipli manga - 1/2 kijicho chaiHiliki - 1/2 kijiko chaiKarafuu ya unga - 1/4 kijiko cha chaiMdalasini wa unga - 1/2 kijiko cha chaiZaaβ¦
Open printable article βπMapishi mazuri ya Wali Wa Kukaanga Kwa Kidari Cha Kuku
Vipimo vya Wali:Mchele - 3 vikombe*Maji ya kupikia - 5 vikombe*Kidonge cha supu - 1Samli - 2 vijiko vya supuChumvi kiasiHiliki - 3 chembeBay leaf - 1Vipimo Vya KukuKidari (chicken breast) - 1KiloKitunguu - 1Tangawizi mbichi - Β½ kipandeKitunguu saumu(thomu/galiβ¦
Open printable article βπMapishi ya wali mtamu Wa Nazi Kwa Maharage Na Samaki Nguru Wa Kukaanga
VipimoWali:Mchele mpunga - 4 VikombeTui la nazi - 6 vikombeChumvi - kiasiNamna Ya Kutayarisha Na KupikaOsha mchele weka kando.Bandika tui jikoni likichemka tia mchele na chumvi.Funika uchemke, tui likikauka wacha moto mdogomdogo hadi wali uive ukiwa tayari. Ikβ¦
Open printable article βπJinsi ya kutengeneza Bisikuti Za Kaukau Na Kahawa (Cocoa Coffee Biscuits)
MAHITAJIMaji baridi β kikombe 1Biskuti za kawaida β paketi 2Kaukau (cocoa) β vijiko 3 vya kuliaKahawa ya unga β kijiko 1 cha kuliaNjugu mchanganyiko zilokatwakatwa β kikombe 1Sukari β kiasi upendavyoMAANDALIZIChanganya maji na kaukau na kofi na sukariKatakata β¦
Open printable article βπJinsi ya kutengeneza Rock-cakes Za Njugu Na Matunda Makavu
MahitajiUnga - 4 VikombeSukari -10 OunceSiagi - 10 OunceMdalasini ya unga - 2 vijiko vya chaiMatunda makavu/njugu (kama lozi, Zabibu, maganda ya chungwa, Cherries na kadhalika - 4 ounceMaziwa ya maji - 4 Vijiko vya supuMaandaliziChukua siagi na sukari koroga nβ¦
Open printable article βπJinsi ya kutengeneza Biskuti Za Cornflakes
MAHITAJIUnga - 1 KikombeSukari ya kusaga - 3/4 KikombeSiagi - 125 gmsYai - 1Baking powder - 1/2 kijiko cha chaiZabibu kavu - 1/2 kikombeCornflakes iliyovunjwa (crushed) - 2 VikombeVanilla - 1 kijiko cha chaiMAANDALIZITia kwenye mashine ya kusaga (blender) au mβ¦
Open printable article βπMAPISHI YA LADU
VIAMBAUPISHIUnga - 6 vikombeSamli - Β½kikombeBaking Powder - Β½kijiko cha chaiMaziwa- 1 kikombeMaji -Kisia kiasi kama unga bado mzitoVIAMBAUPISHI VYA SHIRASukari - 5 vikombeMaji - 2 1/2 vikombeVanilla - 2 vijiko vya chaiRangi ya orange - 1 kijiko cha chaiIliki yβ¦
Open printable article βπJinsi ya kutengeneza Biskuti Za Tangawizi
MAHITAJIUnga - 2 VikombeCocoa ya unga - 1 Kijiko cha supuSukari ya hudhurungi - 1 KikombeSiagi - ΒΎ KikombeYai - 1Molasses - ΒΌ KikombeBaking soda - 2 vijiko vya chaiMdalasini wa unga - 1 kijiko cha chaiTangawizi mbichi - 1 kijiko cha supuKarafuu ya unga - Β½ kijβ¦
Open printable article βπJinsi ya kutengeneza Biskuti Za Tende
MAHITAJIUnga - 4 Vikombe vya chaiSukari ya laini (icing sugar) - 1 Kikombe cha chaiBaking powder - 2 Vijiko vya chaiMayai - 2Siagi au margarine - 1 Kikombe cha chaiVanilla -1 Kijiko cha chaiMaziwa ya kuchanganyia - kiasiTende iliyotolewa koko - 1 Kikombeufuta β¦
Open printable article βπNamna ya kutengeneza Visheti Vya Nazi Na Njugu (Sudani)
VIAMBAUPISHIUnga - 3 mug za chaiSamli - Β½ mug ya chaiMaziwa - 1ΒΌ mug ya chaiBaking powder - 2 vijiko vya chaiVIAMBAUPISHI VYA MJAZONjugu zilizomenywa vipande vipande - 2 vikombe cha chaiSukari - Β½ kikombe cha chaiIliki - 1 kijiko cha chaiNazi iliyokunwa - 2 viβ¦
Open printable article β