πMabadiliko gani yanatokea kwenye miili ya wavulana Wakati wa makuzi au wakati wa kubalehe?
Wakati wa makuzi au kipindi cha kubalehe, wavulana hupitia mabadiliko mbalimbali ya kimwili, kihisia, na kiakili. Mabadiliko haya yanaletwa na ongezeko la homoni, haswa testosterone. Hapa chini ni mabadiliko muhimu yanayotokea kwenye miili ya wavulana wakati hβ¦
Open printable article βπJe, wasichana wana viungo gani vya uzazi na kazi zake ni zipi?
Viungo vya uzazi vya ndani vinaonekana katika michoro inayofuata: Ukiangalia mchoro huu hapo juu, ambao unaonyesha via vya uzazi vya ndani, utaona uke, mfuko wa uzazi, kokwa za mayai na mirija ya kupitisha mayai. Uke ni mfereji ulio kati ya mfuko wa uzazi na sβ¦
Open printable article βπJe, kwa nini unasema kwamba wasichana vijana hawapo tayari kubeba mimba?
Ni kweli kwamba kupata hedhi ni dalili ya mwili wa msichana kuwa tayari kwa kubeba mimba, lakini kupata hedhi hakuna maana kwamba msichana yupo tayari kwa kuanza kujamii ana au kubeba mimba. Uke wa mwanamke ambaye ni mtu mzima ni madhubuti na unavutika, lakiniβ¦
Open printable article βπIwapo msichana atajamiiana wakati wa siku salama anaweza kuepuka kupata mimba?
Siku salama ni siku ambazo hakuna yai ambalo lipo tayari kwa kurutubishwa. Iwapo mwanamke atajamii ana katika siku salama tu, yaani wakati ambapo hakuna yai lililo tayari kurutubishwa, anaweza asipate mimba. Hata hivyo, i inatakiwa ajue kwa uhakika lini yai liβ¦
Open printable article βπKwa nini watu wanakunywa pombe?
Unywaji wa pombe ni sehemu ya utamaduni wa Tanzania na nchinyinginezo duniani.Watu hupendelea kunywa pombe katikasherehe za kidini, kijamii, nyumbani na vilabuni. Wanakunywapombe ili kujiburudisha, lakini pia kuongeza ujasiri, kuondoaaibu au kusahau matatizo yβ¦
Open printable article βπJe, Uvutaji wa sigara unafurahisha na kuchangamsha?
Ndiyo, lakini ni mwanzo tu na kwa muda mfupi; hii ni kwasababu mwanzoni nikotini iliyomo katika sigara inasababishadamu kumiminika kwa wingi kupita kwenye ubongo wako. Hivyo,husababisha msisimko na kukufanya ujisikie raha. Nikotinipia inasababisha misuli mwiliβ¦
Open printable article βπMadhara ya pombe kwa mwili na akili
Pombe huingia kwenye damu na kuzunguka mwili mzima pamojana kwenye ubongo wako. Ina madhara kwa viungo vya mwiliwako na ubongo wako na hivyo huathiri tabia na hisia zako.Unywaji wa pombe kupita kiasi unaweza kuathiri viungo vingikwa mfano, ini ambalo ndilo huaβ¦
Open printable article βπWanawake wanaweza kulewa haraka kuliko wanaume?
Wasichana na wanawake wanaweza kulewa kwa ujumla.Mara nyingi, hulewa pombe haraka kuliko wanaume. Hiiinatokana na uzito mdogo wa miili yao, na kiasi cha mafuta namaji katika miili yao. Kilevi husambaa kiasi kikubwa katika miiliya wanawake. Maini yao huharibikaβ¦
Open printable article βπATHARI ZA ULEVI KATIKA JAMII
Watu wanokunywa kupitia kiasi huathiri jamii kwa njia mbalimbali. Madhara mengine hutokea kwa kuwa wanafanya vitu ambavyo wasingevifanya iwapo wasingekuwa wamelewa. Watu wakilewa, huweza kuwa na hasira, wagomvi hivyo basi huwadhuru wengi kiakili na kimwili. Isβ¦
Open printable article βπJe, ukinywa pombe unaongeza damu?
Si kweli.Pombe haiongezi damu, vitamini wala nguvu. Ukweli ni kwamba unywaji pombe kupita kiasi huvuruga ufyonzaji wa vitamini na madini kutoka kwenye chakula kuingia mwilini.Vitamini ni muhimu kwa kuimarisha kinga ya mwili ambayo inasaidia kujikinga na magonjβ¦
Open printable article βπMadhara ya sigara na pombe kwa mtoto
Watoto hawatakiwi kunywa pombe wala kuvuta sigara!Watoto hasa ndio wapo katika hatari zaidi ya kupata madharayatokanayo na uvutaji sigara na unywaji pombe, kwa sababubado wanaendelea kukua. Wanaweza wakaathiri miili yao na ubongokwa maisha yao yote. Wana hatarβ¦
Open printable article βπWatu husema bia hukufanya uwe mnene, je, ni kweli?
Ni kweli kwamba baadhi ya pombe, hasa bia, husababishaongezeko la uzito kwa baadhi ya watu kwa sababu ina mkusanyikomkubwa wa sukari na wanga.
Open printable article βπJe, ni kweli kwamba mtu anayekunywa pombe anaishi kwa muda mrefu kuliko yule ambaye hanywi kabisa?
Si kweli. Mpaka sasa wanasayansi hawajathibitisha kwambamtu anayekunywa pombe kidogo ndiye anayeishi kwa mudamrefu. Kwa ujumla, watu wanaoishi katika hali ya usafi, afyanjema na maisha yenye furaha ndio wanaoishi kwa mudamrefu kuliko wale ambao hawajijali kimwβ¦
Open printable article βπJe, gongo na sigara husaidia uyeyushaji wa chakula?
Ni imani na fikra potofu kwamba, ukinywa gongo au kuvutasigara kwa kiasi kidogo baada ya chakula itasaidia kuyeyushabaadhi ya vyakula vya mafuta. Pombe inaweza hata kupunguzamtiririko wa kawaida wa kimiminika muhimu kwa uyeyushaji wachakula (tindikali) na hivyβ¦
Open printable article βπJe, ni kweli kuwa madhara ya uvutaji moshi wa sigara yako ni kidogo kuliko yale yatokananyo na kuvuta moshi kutoka kwa mvutaji?
Uvutaji wa aina zote una madhara. Kama utavuta sigara nakuvuta moshi kwa kutumia mdomo hadi kwenye mapafu yakoutapata madhara moja kwa moja kwenye viungo vyako.Kama nitasimama karibu na mvutaji na kuvuta moshi, kunamadhara ambayo siyo ya moja kwa moja. Kwa upaβ¦
Open printable article β