Ni kweli kwamba baadhi ya pombe, hasa bia, husababisha
ongezeko la uzito kwa baadhi ya watu kwa sababu ina mkusanyiko
mkubwa wa sukari na wanga.