PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

All Articles Β· 43,576

πŸ“„

Angalia jamaa alivyouweza huu mchepuko wake

Kuna mchepuko nilimtumia nauli jana ili aje,.kwang sasa leo kaniambia eti " nimesahau ile line yenye M-pesa home plz nitumie tena kwa tigo mpenz""!! Me nikajifanya chizi nikatuma Kule kule kwenye voda (aliosema kaacha home) Nikatuma huko message ivi "nikuongez…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mwizi kawezwa ki kwelii

Et jana usiku mwiz kavunja mlango kwangu akaanza kutafuta kitu kila kona ikabid na mie niamke namuuliza unatafuta nini ananijibu hela ndipo nilipoanza na mie kutafuta nae maana hta hela ya kula Jana sikua nayo alichoka zaid nilipomuliza una uhakika uliweka hum…

Open printable article β†’
πŸ“„

Cheki hawa wachungaji

CHEKA KIDOGOWachungaji watatu walikutana kwa siri na kuelezana matatizo yao ili waweze kuombeana.MCHUNGAJI WA KWANZA: mimi tatizo langu ni wizi, kila nikimaliza ibada lazima niibe pesa za sadaka.WA PILI: Mimi tatizo langu ni wanawake yani nimeshalala na wana k…

Open printable article β†’
πŸ“„

Angalia alichokifanya huyu mtu baada ya kuokota wallet ya thamani

Jamaa aliokota wallet, alipofika nyumbani akapiga simu kwenye radio station "naitwa Juma nimepiga simu kutangaza kuwa nimeokota wallet ndani ina laki7, ATM card na karatasi yenye PIN ya ATM card na kijimfuko cha dhahabu" Mtangazaji akasema, kwa hiyo ungependa …

Open printable article β†’
πŸ“„

Huyu jamaa kawaweza wapenda vya bure

Jamaa kaingia mgahawani kwa fujoJAMAA : Nipe soda moja na kila mtu mpe yake maana ninapokunywa soda napenda kila mtu anyweWATU : Ha! Ha! Ha! Haaaa!JAMAA : Nipe mchemsho na kila mtu mpe wa kwake maana ninapokula mchemsho napenda kila mtu ale wakeWATU: Watu wewe…

Open printable article β†’
πŸ“„

Hawa Machizi wamezidi sasa

Chizi kakaa ukingoni mwa bahari analia kwa masikitiko na huku kakamata kijiko cha chai. Mwezake akamuuliza mbona unalia mwenzangu. Chizi akajibu nimetia vijiko vitatu vya sukari baharini, kila nikionja bado ina chumvi. Mwenzake akacheka sanaaaaaa akamwambia. H…

Open printable article β†’
πŸ“„

Angalia kile kitabia cha kufuta namba kwenye simu kilivyomponza huyu jamaa

Jana nilijipa kazi ya kufuta vitu visivyo na umuhimu kwenye sm yangu. Katika futa futa si nimefuta namba ya bosi wangu. Halafu boss mwenyew wa kike. Mida ya Saa mbili usiku nikawa chumbani kwangu. Mara simu ýÀñgΓΉ ikawa inaita. Kucheki namba ngeni. Nikapokea ba…

Open printable article β†’
πŸ“„

Wale wa kupenda kupewa pewa namba za simu soma hii

Unaomba namba ya simu ya mdada af anakunyima ila unalazimisha akupe anaona kuliko muendelee kuongea bora tu akupe anakutajia 071112016 unafuraahi unaondoka unafika nyumbani unajaribu kuipiga but kabla hujapiga unagundua alikutajia tarehe ya leo Wadada acheni h…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mambao ya saluni ni shida, cheki kilichotokea kwa huyu

DADA alienda Salon wakati anasukwa akaingiaMKAKA mtanashati,DADA akaamua kujaribu bahati yake.DADA:Mambo? KAKA:Poa.DADA:Mimi na wewe tunaweza kuongea baade?KAKA:Kuhusu nini?DADA:Nimekupenda nataka nikutoe out.KAKA:Sawa ila nitamwambia niniMKE wangu?DADA:Aah il…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mchaga aliyemshangaza Mungu

Mchungaji anawaambia waumini: Fanya jambo moja la kumshangaza Mungu… Dakika mbili nyingi Mchaga akakimbia na kapu la sadaka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Open printable article β†’
πŸ“„

Angalia huyu jamaa alivyomuweza huyu binti wa chuo

😁😁😁😁 .. TABU KUDATE NA MADEMU WA CHUODemu ; Baby Safari Hii Nataka Pale Hostel Niwafunike Mashoga Zangu Wote.Jamaa ; Poa Sweetie Ondoa Shaka Nitakununulia #Turubai Utawafunika Wote…!!!Demu: Mxiuuuuuuuu Lione Sura Kama Goti La mbuzi Na Namba yangu futa Nakubloc…

Open printable article β†’
πŸ“„

Angalia nilichokifanya baada ya kuumwa na meno

Baada ya kuumwa na Meno nikaamua hivi.mimi sipeñdagi ujinga,,,Nmeumwa na jino moja la chini..nimeng'oa meno yote ya chini ili iwe funzo kwa meno ya juu😑😑

Open printable article β†’
πŸ“„

Mambo ya pesa haya..

MAMBO YA FEDHA AISEE……. Kuna jamaa alipewa shilingi 983628763600/= …acha uvivu, najua hujasoma ni kiasi gani hicho cha fedha na mbaya zaidi hujagundua kwamba katikati ya namba hizo kuna herufi A… safi sana, najua umeangalia tena kuiona hiyo herufi, bahati mbay…

Open printable article β†’
πŸ“„

Sio kwa wivu huu

Wanawake nilianza kuwachukia tokea shule ya msingi.Ni pale mwanamke wangu aliponiacha na kwenda kwa jamaa mwenye kichongeo kipya …inauma sanaa…WANAWAKE SIO WATU WA MCHEZO MCHEZO ASEEE Bac tuu

Open printable article β†’
πŸ“„

Baada ya mwanamke kukataa kufungua mlango angalia kilichomkuta

MUME: Fungua mlango!MKE: Leo sifungui! Nimechoshwa na ulevi wako.MUME: kama hufungui najitupa kwenye hili shimo nife kabisa.MKE. Kufa huna faida yoyote duniani!MUME kachukua jiwe kubwa kalitupa kwenye shimo chubwiiiiiii!MKE kajifunga kanga, kafungua mlango. Gh…

Open printable article β†’