Baada ya kuumwa na Meno nikaamua hivi.
mimi sipeñdagi ujinga,,,Nmeumwa na jino moja la chini..nimeng'oa meno yote ya chini ili iwe funzo kwa meno ya juu😡😡