PRINTABLE ARTICLE LIBRARY

Article Downloads & PDFs

Find an article, open its modern reading view, then generate a styled A4 PDF. This preserves article content without nesting a second HTML document inside the reader.

πŸ“—πŸ“˜πŸ“™ACKY
SHINE
PRINTABLE RESULTS

All Articles Β· 43,576

πŸ“„

Alichokisema mtoto baada ya kusikia baba na mama wakiongea mambo yao usiku

MUME: Mke wangu naomba nikubusu MKE: Sitaki MUME: Ntakununulia pete ya gold MKE: Staki MUME: Ntakununulia gari MKE: Sitaki….mtoto wao aliyekuwa kalala alisikia haya maneno ya mwisho MTOTO: Baba basi nibusu mimi uninunulie baiskeli BABA: Pumbafu lala huko mjing…

Open printable article β†’
πŸ“„

Sababu ya mke kupewa dawa badala ya mumewe

Dokta: Mama tumemchunguza mumeo kwa makini sana, jopo lote la madaktari tumekubaliana mumeo anahitaji mapumziko japo ya mwezi. Sasa tafadhali chukua hivi vidonge vya usingizi vitasaidia sana. Mama: Asanteni sana, sasa niwe nampa mara ngapi? Dokta: Unatakiwa we…

Open printable article β†’
πŸ“„

Sababu ya watu kupenda mapenzi kuliko vita

Mwalimu aliuliza swali "Kwanini watu wanapenda MAPENZI kuliko VITA? Mwanafunzi mmoja akajibu:- "Kwa sababu CONDOM ni bei rahis kuliko BUNDUKI. Wanafunzi wote: Ndiooooo…!!

Open printable article β†’
πŸ“„

Alichokifanya jamaa baada ya kuokota wallet yenye pesa za kumwaga

Jamaa aliokota wallet, alipofika nyumbani akapiga simu kwenye radio station "Naitwa John nimepiga simu kutangaza kuwa nimeokota wallet ndani ina laki 7, ATM Card na kikaratasi chenye PIN ya ATM Card na kijimkufu cha dhahabu kinene hivi…" Mtangazaji akasema:- A…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mtoto ni wa baba au wa mama? Angalia hoja za baba na mama kila mmoja anadai ni wake

Mtoto ni wa baba au wa mama? Mume alimpa mkewe talaka wakaenda mahakamani ili hakimu aamue nani akae na mtoto. MME: Akasimama akauliza hivi: Mheshimiwa hakimu hivi nikichukua ATM card nikaingiza kwenye mashine ikatoa pesa, sasa pesa zitakuwa ni za ATM au zakwa…

Open printable article β†’
πŸ“„

Angalia huyu demu alivyo mbulula

Jamaa aliamua kumtoa demu wake out kwaajili ya chakula cha usiku kufika hotelini wakakaa mezani mhudumu akaja, Mhudumu: kaka nikuhudumie nini, Jamaa: afathal NILETEE MENU LISTI Mhudumu: dada na wewe? Demu akajibu kwa pozi tena kwakujishaua, "NA MIMI NILETEE ME…

Open printable article β†’
πŸ“„

Angalia huyu secretary anavyomjibu bosi wake

Boss mmoja aliingia kazini kwake kasahau kufunga zipu ya suruali yake sasa secretary wake akamfuata na mazungumzo yakawa hivi: SECRETARY: Boss leo umesahau kufunga geti nyumbani kwako… Boss akabaki anashangaa… Baadae wakati anakwenda chooni kujisaidia ile anat…

Open printable article β†’
πŸ“„

Mabinti wengine kwa kupenda hela! cheki huyu anachokifanya

Phone call gal: hellow Boy: sweety mambo vipi? Girl: poa Boy: utakuwa free weekend? nilikuwa nataka uje nyumbani Girl: oh sorry ctoweza kuja sababu kuna haruc ya aunt yangu Boy: kama ni hivyo sawa nilikuwa nataka nikufanyie sapraiz nimekununulia BLACKBERRY. Gi…

Open printable article β†’
πŸ“„

Cheki huyu jamaa anachomfanyia huyu mrembo kanisani

Jamaa kaenda kanisani akakaa karibu na mrembo. Wakati mahubiri yakiendlea jamaa akaanza kuingiza vocal: Jamaa: dada mi nakupenda saana Dem: Kaka naomba umsikilize mchungaji Jamaa: nipe nafasi uwe msimamizi wa serikali ya moyo wangu… Dem: niache… Jamaa: kweli n…

Open printable article β†’
πŸ“„

Angalia uhuni wa huyu dereva

Dereva alikamatwa kwa kosa la kusababisha ajari ya watu wa5 aliowagonga. Trafik akamuliza kwanin umewagonga awa watu? Jamaa akajibu,"nilikua mwendo wa kasi sana, alafu nimejaza abiria ndani, gari likawa linakuja mbele yangu nilipokanyaga breki zikakatika, sasa…

Open printable article β†’
πŸ“„

Kilichotokea baada ya polisi wa kibongo kukutana na mwizi mzungu

POLISI KAKAMATA MZUNGU 'yestaday I saw u at ze maize shop..(jana nilikuona dukani kwa muhindi) when u saw me u started 2 six six.(uliponiona ulianza ku-sitasita) u ran n decided 2 plant a car.(ulikimbia na ukaamua kupanda gari) zen u pot-cry me through ze wind…

Open printable article β†’
πŸ“„

Angalia huyu mgeni anachokifanya, wageni wengine ni hatari

Hata kama ni Mgeni this is too much. Mwenyeji: Karibu mgeni karibu ukae,utapenda chai au soda? Mgeni: Nipe nianze na soda wakati chai inachemka. Mwenyeji: Utakunywa fanta au sprite? Mgeni: Nipe fanta wakati sprite inapoa. Mwenyeji: Utakunywa na keki au mkate? …

Open printable article β†’
πŸ“„

Dunia ina mambo! Angalia kilichotokea baada ya mgonjwa kuwekewa macho ya paka

Kuna jamaa alipata ajali akapofuka machoπŸ‘€, akaenda hospital akawekewa macho ya paka🐈🐱, dokta akamuuliza: vipi saizi unaona? jamaa: naona ila naona panya tu πŸ‘€πŸ€πŸπŸ€πŸ‘€

Open printable article β†’
πŸ“„

Kilichotokea baada ya bibi na babu kukumbukia mahaba ya ujanani

Mzee wa miaka 60 alimwambia mkewe, leo nataka tukumbukie enzi zetu kutongozana, mke akajibu sawa, inabidi unisubiri mwembeni saa 1 usiku nitapita, mzee akafika saa 1 alikaa hadi saa 5 usiku, aliporudi nyumbani akamuuliza mkewe kwa hasira; sasa tumepanga nin ha…

Open printable article β†’
πŸ“„

Huyu mke kwa kupenda hela! Cheki anachomwambia mume wake

Jamaa karudi toka kazini mpole na hana furaha! MKE; Vipi leo mbona mpole? MUME; Ofisi yetu imeungua na watu wote waliokuwemo wamekufa. MKE; Ilikuaje wewe ukapona? MUME; Nilikua chooni jirani na ofisi najisaidia. MKE; Loh maskini, familia zao itakuaje? MUME; Wa…

Open printable article β†’