MUME: Mke wangu naomba nikubusu MKE: Sitaki MUME: Ntakununulia pete ya gold MKE: Staki MUME: Ntakununulia gari MKE: Sitaki….mtoto wao aliyekuwa kalala alisikia haya maneno ya mwisho MTOTO: Baba basi nibusu mimi uninunulie baiskeli BABA: Pumbafu lala huko mjinga mkubwa