ACKYSHINE ARTICLE

Sababu ya mke kupewa dawa badala ya mumewe

✍️ SW - Melkisedeck ShineπŸ“… July 26, 2021πŸ’¬ 236 comments
Dokta: Mama tumemchunguza mumeo kwa makini sana, jopo lote la madaktari tumekubaliana mumeo anahitaji mapumziko japo ya mwezi. Sasa tafadhali chukua hivi vidonge vya usingizi vitasaidia sana. Mama: Asanteni sana, sasa niwe nampa mara ngapi? Dokta: Unatakiwa wewe uwe unakunywa vidonge hivi kutwa mara tatu kwa mwezi mzima, mumeo atapona.