Aisifuye mvua, imemnyea: kila jambo ambalo mtu analizungumzia atakuwa aidha na uzoefu nalo au kwa namna moja ama nyingine analifahamu.
ποΈ Methali za Kiswahili na Maana zakeπ Swahili
Aisifiaye mvua, imemnyea

Aisifuye mvua, imemnyea: kila jambo ambalo mtu analizungumzia atakuwa aidha na uzoefu nalo au kwa namna moja ama nyingine analifahamu.
Discussion
Share a thoughtful comment or reply. Content is escaped before display.