Hata kama utafanya kila kitu usibakwe bado inaweza ikatokea.
Ubakaji na unyanyasaji wa ujinsia unaweza kutokea kwa kila mtu.
Hata hivyo kuna baadhi ya vitu ambavyo vinaweza kupunguza
hatari ya kubakwa.
Jizuie usiwe peke yako kwenye giza, kutembea peke yako
katika misitu au sehemu ambazo zina watu wachache, kuchota
maji sehemu ya mbali. Hakikisha kuwa kuna watu karibuni wa
kukusaidia iwapo kuna hatari. Pia jihadhari na watu walevi na
sehemu ya kunywea pombe maana watu walevi wanaweza wakawa
hatari. Iwapo umelazimika kufanya kazi katika mazingira
ya hatari, jaribu kujadili tatizo hili na wazazi wako au mtu
unayemwamini na muulize huyu mwanamume au mwanamke
azungumze na wazazi wako.
Usikubali zawadi au upendeleo, kama unafikiri unapewa wewe
kwa kubadilishana na ngono. Kama unajisikia unatishwa jaribu
kukimbia na piga kelele kwa kutafuta msaada mara moja.
Utafiti umeonyesha kuwa wasichana au wanawake ambao kwa
ushupavu wanasema hapana na ambao wanathubutu kupiga
kelele na kuvutia hisia za wengine wakati wanaposhambuliwa
wana hatari kidogo ya kubakwa. Unapokuwa unajitetea kwa
uhakika unapoanza unachopenda na usichopenda, ni sehemu
muhimu ya kujilinda.
Hata kama utafanya kila kitu usibakwe bado inaweza ikatokea. Ubakaji na unyanyasaji wa ujinsia unaweza kutokea kwa kila mtu. Hata hivyo kuna baadhi ya vitu ambavyo vinaweza kupunguza hatari ya kubakwa. Jizuie usiwe peke yako kwenye giza, kutembea peke yako katika misitu au sehemu ambazo zina watu wachache, kuchota maji sehemu ya mbali. Hakikisha kuwa kuna watu karibuni wa kukusaidia iwapo kuna hatari. Pia jihadhari na watu walevi na sehemu ya kunywea pombe maana watu walevi wanaweza wakawa hatari. Iwapo umelazimika kufanya kazi katika mazingira ya hatari, jaribu kujadili tatizo hili na wazazi wako au mtu unayemwamini na muulize huyu mwanamume au mwanamke azungumze na wazazi wako. Usikubali zawadi au upendeleo, kama unafikiri unapewa wewe kwa kubadilishana na ngono. Kama unajisikia unatishwa jaribu kukimbia na piga kelele kwa kutafuta msaada mara moja. Utafiti umeonyesha kuwa wasichana au wanawake ambao kwa ushupavu wanasema hapana na ambao wanathubutu kupiga kelele na kuvutia hisia za wengine wakati wanaposhambuliwa wana hatari kidogo ya kubakwa. Unapokuwa unajitetea kwa uhakika unapoanza unachopenda na usichopenda, ni sehemu muhimu ya kujilinda.
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
0 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Kuzungumza na msichana kwa heshima na upendo ni kitu muhimu kwa kila kijana ambaye anataka kuwa na mahusiano mazuri na msichana. Kuna vidokezo kadhaa β¦
Nchini Tanzania ni 7% ya watu wenye umri kati ya miaka 15-49 wana maambukizi ya Virusi vya UKIMWI. Hii i ii inamaanisha kuwa kati ya watu 100 wa umri β¦
Karibu kwenye nakala hii ambayo tunaangazia imani ya watu katika kujifunza kutoka kwa mwenza wako kuhusu ngono/kufanya mapenzi. Moja ya mambo ambayo yβ¦
Wakati mwingine ni vigumu kusema hapana ukiwa namaana ya hapana. Jaribu kuwa mpole na usiwe mgomvi.Jaribu kueleza sababu zako kwa upole na uwaeleze raβ¦
Vijana wengi wanajikuta wanatumbukia katika matatizo mazito kama kupata mimba mapema, utoaji wa mimba, magonjwa ya zinaa pamoja na maambikizi ya virusβ¦
Kwa mwanaume, dalili ya kufikia mshindo ni uume kusimama halafu kumwaga manii . Manii kutotoka wakati wa kujamii ana inaweza kusababishwa na mambo menβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate