- Je, ualbino unaambukiza? β¦β¦β¦.. Hapana
- Ualbino ni ugonjwa? β¦β¦β¦..Hapana
- Ualbino ni laana? β¦β¦β¦..Hapana
- Ualbino ni kitu cha kawaida? β¦β¦β¦..Hapana
- Ualbino unawapata tu watu weusi?β¦β¦β¦.. Hapana
- Watu wanaoishi na ualbino wana macho mekundu?β¦β¦β¦.. Hapana
- Albino ni watu wenye imani za ushirikina? β¦β¦β¦..Hapana
- Albino wana nguvu za giza? β¦β¦β¦..Hapana
- Je, Albino hawana akili? β¦β¦β¦..Hapana
- Je, ni kosa la mwanamke anayezaa mtoto Albino? β¦β¦β¦..Hapana
- Je, jamii ibadili mtazamo hasi iliyo nao kuhusu Albino?β¦β¦β¦.. NDIYO
Ukweli kuhusu albino
β’
Author/Editor: Melkisedeck Leon Shine, 2015-2017: AckySHINE.com
