Inakuwaje, baadhi ya Albino wana macho yanayochezacheza?

✍️ SW - Melkisedeck ShineπŸ“… 2022-04-15 18:08:58πŸ’¬ 0 comments⏱️ ~1 min read
πŸ“„ PDF

Wapo baadhi ya Albino wenye macho ya kuchezacheza na
ambayo hayawezi kulenga pamoja. Hii inaitwa β€œNystagmus”.
Albino hawezi kudhibiti hali hii. Wakati jicho moja linalenga
mahali lingine huwa linacheza na hii inafanya kuona sawasawa
kuwa kugumu.

πŸ’¬

Discussion

Share a thoughtful comment or reply. Content is escaped before display.

0 comment(s)
No comments yet. Start the conversation.