Kama watu wanataka kuacha kuvuta sigara au kunywa pombe wafanyeje?
Date: April 15, 2022
Author: SW - Melkisedeck Shine
Kwanza kabisa, watu ni kweli wawe wamedhamiria kuacha.
Hii inataka uamuzi wa wazi na nia imara kwa sababu si rahisi
kuacha.
Pili, mtu anatakiwa kufikiria ni katika mazingira gani huwa
anajisikia kuvuta sigara au kunywa pombe. Hii kwa kawaida ni
pamoja na kundi maalumu la marafiki, katika sherehe, baada ya
kazi ngumu, baada au wakati wa kula. Kwa hiyo, kama wanataka
kuacha kuvuta sigara au kunywa pombe, wanatakiwa kubadili
mtindo wa maisha na kuepuka vishawishi.
Hatua ya kwanza katika kuacha kuvuta sigara au kunywa
pombe, inaweza ikawa ni kujiwekea malengo; kwa mfano, kuacha
kuvuta sigara kwa wiki nzima. Jipongeze kuwa umetimiza lengo
lako. Kama umeshindwa anza tena. Ni watu wachache ambao
wameweza kuacha kabisa katika jaribio la kwanza. Watu
wengine wanapata ugumu kuacha kabisa pombe na sigara.
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
Hapana, huwezi ukarithi uvutaji wa bangi. Lakini mara nyingi watoto huiga tabia za wazazi wao. Wa...
Read More
Habari za leo wapenzi wangu! Nami nina furaha sana kuwa hapa leo kuongelea kuhusu swala la ngono ...
Read More
Wapo baadhi ya Albino wenye macho ya kuchezacheza na
ambayo hayawezi kulenga pamoja. Hii ina...
Read More
Kuheshimu tofauti za kijinsia wakati wa ngono/kufanya mapenzi ni jambo muhimu sana. Kila mtu anap...
Read More
Uwezekano wa kuambukizwa virusi vya UKIMWI kwa kunyonyana ndimi ni mdogo sana. Kwa kubadilishana ...
Read More
Haki za binadamu ni haki zinazohusiana na mambo ya msingi na
asili ya uhuru na heshima ya ubinadamu ...
Read More
Afya ya uzazi inahusiana na mfumo wa uzazi wa mtu, na via
vya uzazi kwa watu. Kwa hali hiyo basi ina...
Read More
Leo, tutazungumzia jinsi ya kuanzisha mawasiliano ya kwanza na msichana. Ni muhimu sana kwa kila ...
Read More
Kuna i imani potofu kwamba wote wenye matatizo ya akili wamekuwa hivyo kutokana na matumizi ya da...
Read More
Watoto hawatakiwi kunywa pombe wala kuvuta sigara!
Watoto hasa ndio wapo katika hatari zaid...
Read More
Habari yako rafiki yangu? Leo nataka kuzungumzia suala ambalo limekuwa likiwasumbua wengi kwa mud...
Read More
Nifanyeje Kujikinga na Maambukizi ya Magonjwa ya Zinaa (STIs)?
Jambo wapenzi wa vijana! Le...
Read More
No comments yet. Be the first to share your thoughts!