Je, madhara gani yatawapata wasichana na wavulana wanaojamiiana kwa kutumia sehemu ya haja kubwa?
Date: April 17, 2022
Author: SW - Melkisedeck Shine
Tunasema ngono kutumia njia ya haja kubwa pale ambapo uume uliodinda unaingizwa kwenye njia ya haja kubwa (mkunduni).
Tatizo kubwa la kujamii ana sehemu ya haja kubwa, ni kwamba kuna uwezekano wa kueneza magonjwa ya zinaa pamoja na maambukizi ya VVU na UKIMWI zaidi kuliko kutumia njia ya kawaida ya uke. Kujamii ana sehemu ya haja kubwa ni hatari kwa sababu hakuna yale majimaji kama ukeni na ngozi ni laini sana. Kwa hiyo michubuko i inaweza kutokea kwa urahisi. Michubuko hii i ii inasababisha maumivu na pia i inarahisisha kuambukizana magonjwa ya zinaa.
Kama bado umeamua kujamii ana kwa kutumia njia ya haja kubwa pamoja na usumbufu wote tulioutaja hapo juu, unashauriwa kutumia kondomu i li kuzuia uambukizaji wa magonjwa.
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
Ndiyo. Hapa Tanzania kuna kitengo maalumu kinachojishughulisha
na masuala ya akili. Wataalam...
Read More
Je, kuna tofauti za kiutamaduni katika ngono/kufanya mapenzi? Swali hili linaweza kusababisha maj...
Read More
Virusi vya UKIMWI kwa kiasi kikubwa vinaenea kwa njia ya kujamii ana. Kama mtu ana wapenzi wengi ...
Read More
Kuna aina kondomu za ukubwa mbalimbali. Kwa wastani ukubwa wa kondomu unafaa kwa wanaume watu waz...
Read More
Leo, tutazungumzia kuhusu mbinu za kuleta msisimko wa kihisia wakati wa ngono/kufanya mapenzi. Ni...
Read More
Kuna sababu nyingi ambazo zinamfanya kijana kuanza kujamiiana
katika umri mdogo. Baadhi ya s...
Read More
Matumizi mabaya ya pombe ndiyo yanayosababisha kuenea kwa
VVU au magonjwa mengine yatokanayo...
Read More
Leo tutazungumzia jambo la muhimu sana, ambalo ni kujenga ujasiri wakati wa ngono. Hivi karibuni,...
Read More
Jinsi ya Kujikinga na Mimba Pasipo Kuharibu Afya ya Mwili
Leo tutajadili jinsi ya kujiking...
Read More
Katika suala hili la UKIMWI hakuna tofauti yoyote kati ya
Albino na watu wengine katika jami...
Read More
Wakati mwingine ni vigumu kusema hapana ukiwa na
maana ya hapana. Jaribu kuwa mpole na usiwe...
Read More
Nifanyeje Kukabiliana na Hisia za Wivu Kuhusu Masuala ya Ngono? π
Karibu kijana! Leo tu...
Read More
No comments yet. Be the first to share your thoughts!