Ualbino husababishwa na nini?

✍️ SW - Melkisedeck ShineπŸ“… 2022-04-15 17:12:49πŸ’¬ 0 comments⏱️ ~1 min read
πŸ“„ PDF
Watu wenye ualbino hawana uwezo kabisa au wana uwezo mdogo wa kuwa na rangi kwenye ngozi zao, nywele na macho. Rangi hii huitwa β€œmelanini”. Rangi ya ngozi itategemeana na kiasi cha melanini kilichopo. Hali ya kuzalisha melanini imekaa katika vinasaba vyetu. Kama vinasaba vya kutoa melanini havipo au vimebadilishwa madhara yake ni ukosefu au upungufu wa rangi. Kwa hiyo hali ya ualbino ni ya kurithi. Inaweza kurithishwa kutoka kwa wazazi kwenda kwa mtoto.
πŸ’¬

Discussion

Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.

0 comment(s)
πŸ” Login required to comment or reply

You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.

Log in to participate
No comments yet.