
MasterGrower na MasterFruiter ni aina mbili za mbolea tofauti zinazowekwa kwa nyakati tofauti.
- MasterGrower inawekwa kabla ya mmea kuanza kuweka maua na matunda.
- MasterFruiter inawekwa wakati Mmea unaweka maua na matunda.
Master Grower

Master Grower ni mbolea (booster/busta) yenye potassium, phosphorus na kiwango kikubwa cha Nitrogeni katika uwiano wa N:P:K 30:10:10.
Master Grower inachochea ukuaji wa mimea, inaboresha ubora wa mazao na kuongeza mavuno.
Master Fruiter

Master Fruiter ni mbolea (booster/busta) yenye nitrogen, phosphorus na kiwangokikubwa cha potassium katika uwiano wa N:P:K 10:10:40.
Master Fruiter inachochea ukuaji wa maua na matunda na kuongeza ubora wa mazao.
Bidhaa hii inaletwa Kwako na Kampuni yaย BareFoot International Limited. Wauzaji na wasambazaji waย bidhaa Bora za Kilimo Tanzania.
Mawasiliano
Simu:
+255 756 914 936
โ
WhatsApp:
+255 756 914 936
โ
Email:
info@bfi.co.tz
โ
No comments yet. Be the first to share your thoughts!