Sidebar with Floating Button
AckySHINE πŸ”
☰

BareFoot Sprayer: Pampu imara ya kunyunyiza dawa - Mabomba ya kupulizia dawa mepesi kubeba na yenye nguvu

β€’
Author/Editor: Melkisedeck Leon Shine, 2015-2017: AckySHINE.com
Featured Image

BareFoot Sprayer ni Pump Imara na yenye Nguvu Maalumu kwa ajili ya kunyunyiza/kupuliza dawa mashambani, kwenye mifugo nakadhalika.

BareFoot Sprayer imetengenezwa kwa Muundo mzuri kwa kurahisisha ubebaji na upigaji wadawa.

BareFoot Sprayer ina dumu imara lisilopasuka kirahisi na linaloweza kudumu kwa muda mrefu.

Bidhaa hii inaletwa Kwako na Kampuni yaΒ BareFoot International Limited. Wauzaji na wasambazaji waΒ bidhaa Bora za Kilimo Tanzania.

Mawasiliano

Simu:

+255 756 914 936

β€”

WhatsApp:

+255 756 914 936

β€”

Email:

info@bfi.co.tz

β€”

NB: Tunapatikana Mikoa Yote Tanzania

AckySHINE Solutions
✨ Join AckySHINE for more features! ✨

Comments 0

Please log in or register to comment or reply.
No comments yet. Be the first to share your thoughts! πŸ“

πŸ”— Related Posts

🏠 Home πŸ“– Reading πŸ–ΌοΈ Gallery πŸ’¬ AI Chat πŸ“˜ About