Sidebar with Floating Button
AckySHINE πŸ”
☰

Jinsi ya kupika Vileja Vya Tambi

β€’
Author/Editor: Melkisedeck Leon Shine, 2015-2017: AckySHINE.com
Featured Image

Viambaupishi

Tambi (vermiceli Roasted) Mifuko 2 Siagi 4 Vijiko vya supu Maziwa (condensed) 300Ml Lozi zilizokatwakatwa 1 kikombe Zabibu kavu 1 Kikombe Arki (essence) 1 Kijiko cha supu

Jinsi ya kuandaa na kupika

1) Weka karai kwenye moto kiasi 2) Tia siagi 3) Tia tambi uzikaange usiachie mkoni mpaka ziwe rangu ya dhahabu. 4) Weka lozi na zabibu huku unakoroga 5) Tia maziwa na huku unakoroga usiachie mkono. 6) Tia arki 7) Epua karai, tumia kijiko cha chai kwa kuchotea na utie kwenye kikombe cha kahawa nusu usikijaze. 8) Kipindue kwenye sahani utoe kileja. 9) Fanya hivyo mpaka umalize vyote.
AckySHINE Solutions
✨ Join AckySHINE for more features! ✨

Comments 0

Please log in or register to comment or reply.
No comments yet. Be the first to share your thoughts! πŸ“

πŸ”— Related Posts

🏠 Home πŸ“– Reading πŸ–ΌοΈ Gallery πŸ’¬ AI Chat πŸ“˜ About