Viamba upishi
Blue band vijiko vikubwa 2
Maziwa vikombe 2
Royco kijiko kikubwa 1-2
Pilipili manga (unga) kijiko cha 1
Chumvi kiasi Maji lita 2-3
Boga kipande Β½
Viazi mviringo 2
Vitunguu 2
Karoti 2
Nyanya 2
Hatua
β’ Menya boga, viazi, karoti, nyanya na kwaruza weka kwenya sufuria kubwa.
β’ Menya, osha na katakata vitunguu kisha ongeza kwenye mboga.
β’ Ongeza maji na chumvi chemshwa mpaka vilainike.
β’ Pekecha ikiwa jikoni na moto kidogo
β’ Ongeza blue band, maziwa royco na pilipili manga ukikoroga kwa dakika 5.
β’ Onja chumvi na pakua kama supu.
Uwezekano
Tumia siagi badala ya margarine.
No comments yet. Be the first to share your thoughts!