Viamba upishi
Mgagani mkono 1
Mafuta vijiko vikubwa 4
Karanga zilizosagwa kikombe Β½
Maji kikombe 1
Kitunguu 1
Karoti 2
Maziwa kikombe 1
Chumvi kiasi
Hatua
β’ Chambua mgagani, oshana katakata.
β’ Chemsha maji, weka chumvi kisha ongeza mgagani, funika zichemmke kwa
β’ dakika 5-10.
β’ Menye osha na katakata kitunguu.
β’ Osha, menya na kwaruza karoti.
β’ Kaanga karanga, ondoa maganda na saga.
β’ Kaanga vitunguu na karoti mpaka zilainike ukikoroga.
β’ Weka mgagani uliochemshwa koroga sawasa na funika kwa dakika 5 zilainike.
β’ Changanya maziwa na karanga ongeza kwenye mgagani ukikoroga kasha punguza moto kwa dakika 5 ziive.
β’ Onja chumvi na pakua kama kitoweo.
No comments yet. Be the first to share your thoughts!