Jana usiku kuna Jirani yangu..kanitumia text "mambo vipi?"β¦halafu tunakaa nae mtaa mmoja nikaona nikimjibu ni uharibifu wa hela nikaenda kumgongea mlango saa 7 usiku. Alipofungua nikamjibu "shwari"halafu nikarudi nyumbani kulala zangu..
Sipendagi kuchezea salio..
πππππ
Jana usiku kuna Jirani yangu..kanitumia text "mambo vipi?"β¦halafu tunakaa nae mtaa mmoja nikaona nikimjibu ni uharibifu wa hela nikaenda kumgongea mlango saa 7 usiku. Alipofungua nikamjibu "shwari"halafu nikarudi nyumbani kulala zangu..Sipendagi kuchezea salio..πππππ
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
236 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Jamaa kaenda kumtembelea rafiki yake Levi, kule sehemu za kwetu, akakaribishwa bonge ya ugali na nyama nyingi tu, wakati anakula akagundua kuwa shemejβ¦
Mungu akupe umri wa mnazi uishi mingi miaka.Akupe thamani ya mnazi kila kitu chatumika.Kuanzia kuti lake mpaka kwenye kidaka.Kitale katikati yake ukilβ¦
Huwa naenjoy sana kusoma yaliyoandikwa nyuma ya daladala hasa ninapokuwa kwenye foleni. Misemo maarufuya kwenye daladala.1.Yatima hadeki2.Utamu wa chiβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate