Mambo muhimu ya kuzingatia kwenye ufugaji wa nyuki wa asali
Date: December 26, 2020
Author: SW - Melkisedeck Shine
Mtaalamu wa nyuki
Unapohitaji unahitaji kufuga nyuki ni lazima uwe na uelewa wa mzunguko wa maisha ya nyuki. Unapoanza ni lazima uulize mtaalamu wa nyuki, wafugaji wenzako ambao wana uzoefu wa kutosha, au kujiunga katika kikundi cha ufugaji ili apate ufahamu zaidi juu ya ufugaji wa nyuki.
Sehemu salama kwa ajili ya mzinga
Unahitaji kutafuta mahali pazuri, salama, na penye sifa ya kufugia nyuki. Vifaa vyote vikishapatikana kinachofuata ni kuchagua mahali gani pa kuweka mzinga. Hakikisha sehemu hii ni mahali ambapo makundi ya nyuki hukusanyika mara kwa mara.
Uwekaji Bora wa Mizinga
Ukishatafuta ya sehemu ya kuweka mizinga, kinachofuata ni kuandaa mizinga kwa ajili ya kuweka panapotakiwa.
Mambo ya muhimu ya kuzingatia
β’ Kwanza Safisha mzinga kuondoa uchafu wote, utando wa buibui na aina nyingine za wadudu.
β’ Kisha Weka chambo kwenye mzinga (maranyingi nta hutumika kama chambo) kwa kuipaka katika kuta za mzinga kwa ndani.
β’ Halafu Mzinga unaweza kutundikwa kwenye mti, kwenye nguzo, kuweka kwenye jukwaa au kwenye miamba. Hii inategemea wewe mwenyewe anapendelea njia ipi.
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
Hakikisha unamuona mtaalamu wa mifugo mara uonapo dalili zozote za kuumwa kwa mifugo wako.
Tenga na...
Read More
Mbolea ya mboji hutokana na mabaki ya majani na miti. Majani na miti yanapooza hugeuka na kutenge...
Read More
Kilimo cha Parachichi nacho kinalipa ukilima.
"Cannibalism,"
Kudonoana kwa kuku ni tatizo linalo wa sumbua wengi, ni m...
Read More
Safisha vyombo vya kulishia na kunyweshea kila siku. Osha, sugua vizuri, kisha suuza kuondoa utando ...
Read More
Ukaguzi wa Kila siku
β’ Hakikisha unasafisha vyombo vya kulishia na kunywe...
Read More
Ukitaka kujua kuwa eneo unalotaka kuweka mizinga ya nyuki ni sahihi unatakiwa kuzingatia ...
Read More
No comments yet. Be the first to share your thoughts!